Tutapata sana shida.!

Asante kwa swali
Ila ungesoma kwa makini kidogo ungeelewa mtendewa ni nani
Kwani mtendwa ameelezwa kuanzia sentensi ya juu

Sasa nimekuelewa asante sana...ngoja nijipe muda wa kuisoma tena mada yote halafu nitarejea
 
^^
Mkuu hilo dogo,, ushawahi kulea watoto wawili wote sio wako? Halafu mwanamke anatega meno eti anakupenda na eti kwa kukuhurumia anakuzalia mtoto mmoja ili ufurahi?
Hawa viumbe ni wa kutazama tu unaondoka

Yaani we acha tu
Sijui kwenye ubongo wao kuna nini

Halafu unakuta hao watoto ni wa baba tofauti!!!!!!!!!!!!!!
 
Yes
Sema kama unamhitaji
Lakini uwe muaminifu....lol!!!

Mmh! Eiyer unanitafutia bifu tu na watu humu ndani ndugu yangu...
Me namsubiri wangu ashushwe toka mbinguni...
 
Mmh! Eiyer unanitafutia bifu tu na watu humu ndani ndugu yangu...
Me namsubiri wangu ashushwe toka mbinguni...

Bifu gani?
Na nani?
Mimi si nimekuambia yupo single?...lol!

Hata mimi nipo single
Yaani tupo wengi sana humu
Tena wenye tabia hiyo

We sema tu kama unamhitaji!
 
Bifu gani?
Na nani?
Mimi si nimekuambia yupo single?...lol!

Hata mimi nipo single
Yaani tupo wengi sana humu
Tena wenye tabia hiyo

We sema tu kama unamhitaji!

Ok usisemee nafsi ya mentor....kwani we body guard wake?ngoja nianze na wewe eiyer mkaka wa ukweliiiiii......karibu kwa miss true love....but uwe rafiki kwanza..
 
daah,this is such an inspiration to mi..kwel maisha haya ukwel wa mtu uko moyoni..kila mtu yuko alert asiumizwe..hakuna wa kumwamin tena..when i think of this realy leaps my heart;(
 
Ok usisemee nafsi ya mentor....kwani we body guard wake?ngoja nianze na wewe eiyer mkaka wa ukweliiiiii......karibu kwa miss true love....but uwe rafiki kwanza..

Usihofu kabisa Miss true love
Mimi napenda sana urafiki

So tell me something miss!
 
daah,this is such an inspiration to mi..kwel maisha haya ukwel wa mtu uko moyoni..kila mtu yuko alert asiumizwe..hakuna wa kumwamin tena..when i think of this realy leaps my heart;(
brenda18,
Unajisikiaje ukijua jamaa yako anacheat?
Vipi mukisikia jamaa yako hacheat?
 
Last edited by a moderator:
^^
Mkuu hilo dogo,, ushawahi kulea watoto wawili wote sio wako? Halafu mwanamke anatega meno eti anakupenda na eti kwa kukuhurumia anakuzalia mtoto mmoja ili ufurahi?
Hawa viumbe ni wa kutazama tu unaondoka
^^

Lakini Mkuu huwa wanasemaga kitanda hakizai haramu. Na unajuaje kama hao watoto sio wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…