Tutapata sana shida.!


Wanaume wasiopenda kucheat kumbe bado mpo....dah atajayekupata atakuwa na bahati sana.
 
umeongea kitu kikubwa sana! hii sintofahamu bado haijapata jibu ama suluhu, pengine tuendelee kusubili wachangiaji zaidi
 
Mkuu Eiyer hakuna kukwepa na huwezi kukwepa kikombe hiki kama yule mwana wa Adam alivyosema ikiwa ni mapenzi yake akikwepe kikombe kile ila yakawa sio mapenzi yake
Kuoa kupo pale pale (may be kuwe na another extra problem)ambayo inakufanya usifanye hivyo na haya mambo ya kujiumiza kichwa kwa kitu ambacho hakijatokea unayatoa wapi
We amini kuwa utaongozwa kumpata yule wako ambaye mtaendana na kama wewe ni cheater tegemea kuwa na yeye atakuwa the same to you ila mkiheshimiana na kujua ndoa ni nini na umuhimu wa ndoa na kwa nini mmeoana sidhani kama kutakuwa na tatizo
 
Last edited by a moderator:

Is not that simple mkuu!
 
umeongea kitu kikubwa sana! hii sintofahamu bado haijapata jibu ama suluhu, pengine tuendelee kusubili wachangiaji zaidi

Mkuu kwani wewe unalionaje hili?
 
Mkuu naona sentensi inaeleweka,ngoja nijaribu kuelezea tena

Kuna watu wamezaliwa na mtazamo hasi kwa 100% kuhusiana na cheating
Yaani hawawezi kabisa kufanya hivyo
Lakini hawawezi kuvumilia wenza wao kuwa-cheat

Natumai umenielewa
Au bado?

Mkuu kinachonisumbua mimi hapa ni lugha tu...na tatizo lipo kwenye namna ya uandishi ulioutumia hahah!!!

"Lakini hawawezi kuvumilia wenza wao kuwa-cheat"

Namna hii sentensi ulivyoiandika nashindwa kuelewa nani ni mtenda na nani mtendwa
 

Haa haaa naona mkuu unavutia upande wako huamin kama hili linawezekana maana wee limekusnda na umeona salama yako ni kutshauri nasi tuamin haliwezekani,

Mbona me nimeweza hili,japo sijui mwenzangu lakin hata akinicheat hainip me credit ya kucheat maana hata kama njkcheat bado cwez kukataa ukweli kwamba nimechitiwa!!!!!!

Labda nikuulize ulpo cheat ulipata nn hasa na maumivu yaliisha moyoni au usoni
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kinachonisumbua mimi hapa ni lugha tu...na tatizo lipo kwenye namna ya uandishi ulioutumia hahah!!!

"Lakini hawawezi kuvumilia wenza wao kuwa-cheat"

Namna hii sentensi ulivyoiandika nashindwa kuelewa nani ni mtenda na nani mtendwa

Haaa haaa ww kweli unatatizwa mwenzako kaiweka ifanye kazi kwa jenda zote we umeanza ubaguzi
 
Mkuu kinachonisumbua mimi hapa ni lugha tu...na tatizo lipo kwenye namna ya uandishi ulioutumia hahah!!!

"Lakini hawawezi kuvumilia wenza wao kuwa-cheat"

Namna hii sentensi ulivyoiandika nashindwa kuelewa nani ni mtenda na nani mtendwa

Asante kwa swali
Ila ungesoma kwa makini kidogo ungeelewa mtendewa ni nani
Kwani mtendwa ameelezwa kuanzia sentensi ya juu
Hapa nawazungumzia wale ambao wamezaliwa huku wakiwa hawawezi kabisa ku-cheat lakini wakati huohuo hawawezi kuhimili mwenza wao kuwasaliti
 
hajaelewa huyo mwandikie kwa herufi kubwa :A S-confused1:
Mkuu naona sentensi inaeleweka,ngoja nijaribu kuelezea tena

Kuna watu wamezaliwa na mtazamo hasi kwa 100% kuhusiana na cheating
Yaani hawawezi kabisa kufanya hivyo
Lakini hawawezi kuvumilia wenza wao kuwa-cheat

Natumai umenielewa
Au bado?
 


Mkuu Walas Ba sio kwamba nashangalia kucheat au kucheatiwa ila ni kujaribu kumshauri ndugu yetu Eiyer anayeogopa kuingia kwenye ndoa kwa sababu ya kuogopa mwanamke atamcheat
Sishangilii watu kucheat wala si kwamba nimeshawahi kufanya hivyo ila napenda ndoa iheshimiwe na wale wahusika wa ndoa na waione ndoa kama jambo jema na sio kila siku kukatishwa tamaa kuwa ndoa ni majanga watu wanacheat kwenye ndoa au walio kwenye ndoa wanatamani watoke
 
Last edited by a moderator:
Eiyer umeelewa hapa kama ndio nisaidie na me
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…