Big problem start here
Sijui nimezaliwa tarehe ngapi
Hata mwezi nao ni tatizo
Tufanyeje?
Hebu jaribu kunielekeza namna ya kugoogle ili siku nikiijua nifanye mwenyewe!
So
Haupo mapenzini sasa au upo kiaina tu?
kwenda kuitoa haki ya mumeo kwa mtu mwingine ni heshima?
hili litawaliza/na kuwaumiza wengi simply coz WE DISOBEY GOD'S INSTRUCTIONS.
Mi naolewa na naamini atakaenioa hawezi toka nje km mi ambavyo cwezi coz Mungu anampa kila mtu, mtu wa kufanana naye.
biblia inasema 'AONAVYO MTU NAFSINI MWAKE NDIVYO ILIVYO'.
Tatizo watu wanataka Wenza waaminifu wakati wao sio waaminifu.
Eiyer ww mwambie Mungu na uwe mwaminifu hatokuacha
^^
Etii unaolewa!! Naweza kuwa M.C
^^
Hahahaa haaaa
bado ila utajua tu ww tena
mwaka ushaisha huu so mwakani mwanzon ntym tegemea mwaliko
btw mzima?
Nina mdogo wangu wa kiume,third year University level...wakati mwingine huwa nikikosa cha kunisumbua ubongo huwa hisia za kwamba bwana mdogo hayuko sawa zinanijia! Ni aina ya wale watu ukisafiri unaweza kumhamishia chumba cha shemejiye (mkeo) na bado usalama 24/7 ukawepo!
Vibinti navyo haviishi kujipitisha kwa bwana mdogo na kubwa kuliko ni pale binti mmoja decent aliwahi kunifuata kuniomba nimuunganishe na bwana mdogo...nilijaribu sana bila mafanikio kutengeneza mapande yaliyoisha kugonga mtambaa wa panya! Hofu yangu nikitazama kizazi hiki ambacho kila kitu ni dot.com sijui kama mke wa mdogo wangu anaexist!
huyo mwache asome hao wakiingiaga humo mapenzini hawaambiliki
Mfano enzi zangu nikiwa mdogo nilicheza sana seek and hide almaarufu kombolela,kama hiyo haitoshi kibaba na mama sanaaaaaa na sikupenda kuact sana nafasi ya mtoto maana wababa wengine walikuwa wanakutuma mbali ukirudi unakuta mama anacheka cheka tu...How come mtoto wa kiume ukajifunzie ujinga ujinga kwenye ndoa? Kuna sababu ya kujifunza dating kwenye teen bwana!
yaa m happy, m jus praying mambo yaende vzr^^
Ooo! I cant wait to see! Mie mzima natumaini anakutunza vizuri hivyo sina shaka u bukheri wa siha njema
^^
yaa m happy, m jus praying mambo yaende vzr
maana shetani naye yupo kazini my bro
hili litawaliza/na kuwaumiza wengi simply coz WE DISOBEY GOD'S INSTRUCTIONS.
Mi naolewa na naamini atakaenioa hawezi toka nje km mi ambavyo cwezi coz Mungu anampa kila mtu, mtu wa kufanana naye.
biblia inasema 'AONAVYO MTU NAFSINI MWAKE NDIVYO ILIVYO'.
Tatizo watu wanataka Wenza waaminifu wakati wao sio waaminifu.
Eiyer ww mwambie Mungu na uwe mwaminifu hatokuacha
Hahahahahaaa!
Leta janja ya nyani!
...
Step 1:
ujue tarehe na mwezi uliozaliwa,
hii itakufanya ujijue upo sign gani kati ya zile 12 Zodiac signs!
Kujua hili, search, eg: 'September 7 zodiac sign or Horoscope'
hapo utaisoma na kujua fact nyingi kuhusu wewe!
...
Step 2:
Search love compatblty ya hiyo sign yako! Eg: 'Virgo love compatibility'
Hapo utaangalia mwenyewe coz wanatoa maelezo kwa hiyo sign uliyoiweka na sign nyengine (zote) 12!
Bora zaidi ukispecify eg 'Virgo man lov.....'
...
NB: Mitandao inayotoa hizo huduma ni mengi sana! Almost facts zinafanana sana!
Kuna wengine wameboresha zaidi, yani unaspecify hadi saa uliyozaliwa kama unaijua!
mkuu Eiyer unayosema ni sawa na ni kweli lakini si kwa kuahidi pekee. ni vema tu kusema labda namuomba Mungu aniepushe maana safari ya maisha ni ndefu na ndani yake mengi hutokea. Kumbuka hata Petro alivyomkana Yesu ingawa alishaahidi kutomwacha. Life s very complex and nothing remains static. things are always changing and people are always changing not only physically but also spiritually and mentally. may be it is better to find out what makes people change and whether there is a way to control changes among individuals.Kuna watu wamezaliwa na tabia ambazo kwa ulimwengu wa leo watapata shida sana
Hapa nawazungumzia wale ambao wamezaliwa huku wakiwa hawawezi kabisa ku-cheat lakini wakati huohuo hawawezi kuhimili mwenza wao kuwasaliti
Hili ni suala gumu sana
Binafsi nilishawahi kujaribu kulifikiria hili nikajikuta nashindwa kabisa,siwezi kutofautisha kumdharau mpenzi wangu na kum-cheat
Yaani siwezi kum-cheat halafu niendelee kujidai eti nampenda
Ni ngumu
Nahisi kujidhalilisha na zaidi sana namdhalilisha mwenza wangu
Nahisi maisha yatakuwa magumu sana kwenye dunia hii ya "cheating is inevitable"
!
mkuu Eiyer unayosema ni sawa na ni kweli lakini si kwa kuahidi pekee. ni vema tu kusema labda namuomba Mungu aniepushe maana safari ya maisha ni ndefu na ndani yake mengi hutokea. Kumbuka hata Petro alivyomkana Yesu ingawa alishaahidi kutomwacha. Life s very complex and nothing remains static. things are always changing and people are always changing not only physically but also spiritually and mentally. may be it is better to find out what makes people change and whether there is a way to control changes among individuals.