Tutamtafuta sana mchawi wetu kamwe hatutampata

Seif Kazige Mbambizi

Senior Member
May 7, 2016
135
92
“Does the white man understand our custom about land?” “How can he when he does not even speak our tongue? But he says that our customs are bad; and our own brothers who have taken up his religion also say that our customs are bad. How do you think we can fight when our own brothers have turned against us? The white man is very clever. He came quietly and peaceably with his religion. We were amused at his foolishness and allowed him to stay. Now he has won our brothers, and our clan can no longer act like one. He has put a knife on the things that held us together and we have fallen apart”. (Achebe: 1958: 124)
 
Ndio umeandika nini sasa...
Kichwa cha habari hakiendani na uliyo yaandika aiseeee...
 
toa tafr

toa tafsiri ya maneno hayo.

swissme
Bahati mbaya nilikua mtoro sana mwalimu wa hiyo lugha ili letwa na majahazi alipokua akifundisha.
Kimsingi hapakua na maana ya kuandika kwa lugha ya malkia aiseeee.....
 
Na bado Cameron anataka tutinduane wanaume kwa wanaume, wanawake kwa wanawake
 
Uko sahihi kaka nimekosea sana kwa hilo naomba nisamehewe aisee nilijaribu kunukuu tu maneno ya mwandishi chinua achebe kwa lengo la kutaka kusema tunapofikiria kutatua tatizo flani lazima kwanza tutafute chanzo cha tatizo husika ni nini?
 
Bahati mbaya nilikua mtoro sana mwalimu wa hiyo lugha ili letwa na majahazi alipokua akifundisha.
Kimsingi hapakua na maana ya kuandika kwa lugha ya malkia aiseeee.....


Kwani JPM hajakutafsiria , ??? tehtehhhhh
 
Back
Top Bottom