tutamsaidiaje kijana huyu?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tutamsaidiaje kijana huyu??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MESSI, Jul 11, 2011.

 1. MESSI

  MESSI Member

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  habari wanaJF!
  Napenda kuwasilisha hili:
  mimi nina rafiki yangu ni graduate mwk huu.tatizo lake ni kwamba anapenda sana ng**o amekuwa akibadilisha wanawake kama nguo n wakati huohuo anachukua na machangudoa usiku hasa pindi bado yuko chuo,,tena kibaya zaidi amekuwa akifanya ng**o zembe tumejaribu sana kumshauri ss tumeamua kumwacha kama alivyo,ukimwi hataki kupima..ss ningependa kuuliza hivi hii hali inatokana na nn hasa?tamaa au ndo pepo wa ngono??.unawezaje kumsaidia mtu kama huyu??.maana anakoelekea kaburi linamuita.
   
 2. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mtafutieni mke aoe na awe karibu na Mungu maana inaonekana Shetani amemtawala sana.
   
 3. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Yakimfika atakutafuta
   
 4. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Ufanyaji wa ngono tena wa ovyo ni wa watu waliokata tamaa! May be amepita mahala akahisi ameukwaa au ni broken heart na anafanya km either kulipiza kisasi au kupunguza machungu. Since ur the close friend anza kujua why anafanya hvo? For leisure? Revenge? Or he have no hope? Ukishajua ndipo unaweza kumsaidia mawazo na pia kumshawishi kupima kwani ushauri bila kujua orign of the behvr ni useles na haitakuwa na faida. So ask him why...then mengne yatakuja automaticaly!
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mpelekeni kwenye maombi huyooo
   
 6. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kama ni mtu wako wakaribu sana na unayo sema yanatoka moyoni mwako,basi tafuta sehemu muende mkaongee na atakueleza ukweli ulokua ndani ya moyo wake na lakini uwe tayari kumsaidia kwa hali na mali sio akwambie uyaone mazito umkimbie utamumiza sana moyo wake,
   
 7. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #7
  Jul 11, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Huyo ni wale wanaume fisi maji.Atakuja umia.
   
 8. MESSI

  MESSI Member

  #8
  Jul 11, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  ahsante kwa mchango wako mzr mkuu..
   
 9. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #9
  Jul 11, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  kuna jambo haliko sawa...
   
 10. MESSI

  MESSI Member

  #10
  Jul 11, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  nitafata ushauri wako mkuu..
   
 11. MESSI

  MESSI Member

  #11
  Jul 11, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  jambo gani??
   
 12. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #12
  Jul 11, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,727
  Likes Received: 8,291
  Trophy Points: 280
  Anza kukariri ule wimbo wa Jocelyne-Mshkaji mmoja....yatakapomkuta uanze kumuimbia!

  Alikuwa freshi ukijumlishia na cash
  fresh ukimwona utampa tu respect
  na alikuwa anapenda sketi
  anapenda mitungi lakini si mtu wa vijiti.

  Fikiri yupo fiti class number moja
  na alikuwa anatembea na mmoja baada ya mmoja
  baadaya mda tu mshkaji akatutosa
  alipogundua kwamba anafanya makosa
  si hatukumtenga, tulizidi kumpenda
  tulichotaka kumwambia basi punguze kuchenga
  na kama akishindwa kabisa atumie kinga
  akatuona mastupid eti kwamba si wajinga.

  CHORUS:
  Haijalishi we nani
  haijalishi uwe tajiri au masikiniii
  haijalishi we ni nani
  ukiupata ukimwi ni kifoooo...
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Jul 11, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Huyo jamaa yako ana hatari aisee...
  Hapo jambo la kumshauri ni kuwa jirani na viongozi wake wa kiroho anaweza kupona kutoka kwa hilo pepo la ngono linalomtawala.
   
 14. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #14
  Jul 11, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Njoo ufanyiwe maombi, njoo uombewe. Huu ndio ushauri wangu kwako, usiteseke buree! Ukiombewa tatizo lako ni dogo hiloo, njoo ufanyiwe maombi. B- mwaitege.
   
 15. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #15
  Jul 11, 2011
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Inawezekana ameshapima na akajiona tayari..............ndo ameamua asife peke yake. Mpeleke kwenye maombi mkuu.
   
 16. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #16
  Jul 11, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,727
  Likes Received: 8,291
  Trophy Points: 280
  Huu unafaa kwa sasa..akikataa wewe endelea kukremu huo wangu hapo juu!
   
 17. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #17
  Jul 11, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Pengine ana tatizo jaribu kuongea nae kwa upole anaweza akafunguka.
   
 18. MESSI

  MESSI Member

  #18
  Jul 11, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  hahahahaa mkuu umenifurahisha sana!.nitaconsider ushauri wako!
   
 19. hengo

  hengo JF-Expert Member

  #19
  Jul 11, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hayo ni mapepo akaombewe na kama umri na nafasi inaruhusu ni vyema aowe.
   
 20. hengo

  hengo JF-Expert Member

  #20
  Jul 11, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Vituo vya polisi,magereza na hospitali kunamgao wa umeme!Jamani ni kweli hata jenereta imeshindikana? mbona ni hatari hii?
   
Loading...