Tutamlinda Kikwete pia kwa kutumia nguvu za umma

Arusha kama huelewi hakupingwa Raisi ,mlikuwa mnapigania kiti cha umea huko ,mlikutana na walinzi wa amani maana mambo ya kuuteketeza mji wa Arusha hamkufanikiwa ,ila hii mada inazungumzia Raisi,nyimbo ambayo mnaimba siku hizi kuwa mtumie nguvu ya Umma kumlazimisha Raisi aondoke madarakani,aloo msije mkajaribu,CCM ni wengi sana na wamezagaa nchi nzima na nao wapo tayari kwa hilo ,anytime mkitangazza nao wanazuka kutoka kusiko julikana tayari kumlinda Raisi wa Nchi hii alietokana na chama chao.

Hata Ben Ali wa Tunisia alikuwa na wafuasi wa kutosha na majeshi yote na washauri wapuuzi kama wewe kwa muda wote wa miaka 23 madarakani lakini ameondoka kwa nguvu ya umma na kwa aibu kubwa. Ni kweli uliowazi Kikwete nchi imemshinda maisha ya watanzania yanazidi kuwa magumu, JK anaendekeza ufisadi, na anaua watu wasio na hatia. Upuuzi wa JK unazidishwa na watu wapuuzi kama wewe!
 
watanzania walio wengi wameapa kuwa ikiwa patatokea kundi linalojidai kutumia nguvu za umma kumuondosha raisi kikwete nao pia watatumia nguvu za umma kuhakikisha kuwa anabaki madarakani hadi mwisho wa awamu yake.

Baadhi ya watanzania hao walidai madai yanayotolewa na vyama vichache kuwa itumike nguvu ya umma kumuondoa mheshimiwa raisi kikwete madarakani ni ya makundi ambayo yamepoteza muelekeo na sasa wanataka kulisambaratisha taifa hili lenye utulivu na amani na kuliingiza kwenye vurumai lisilojulikana mwisho wake.

Watanzania hao ambao wengi wao wanasema sisi ni wengi kuliko walioko kwenye hayo makundi wataonyesha ni namna gani nguvu za umma zinatumika kuhakikisha raisi waliemchagua anaendelea kubaki kwenye madaraka kwani uhakika kuwa wingi wao ndio uliomueka madarakani upo palepale na ushindi uliopatikana sio wa kubabaisha au kupapasa ni ushindi uliotangazwa na tume na ambao ndio unaotakiwa uheshimiwe.

Sasa kutokea kwa vishambenga ambavyo vinajitutumua kwenye majukwaa kuwa peoples power itafanya kazi kumuondoa kikwete madarakani ,wananchi hao walisisitiza madai yao kuwa wanawasuburi hao ambao watakuwa mstari wa mbele kuongoza nguvu za umma na wajiandae kukutana vilevile na nguvu za umma upande wa uraisi ,na wamesema watajuta kuzaliwa maana wao ni wengi sana na watakuwa hawana mswalie mtume ni kumlinda kikwete tu mpaka kieleweke ,lakini hawatamuacha raisi waliemchagua kuchezewa na watu wachache.
hawana chochote kwanza waoga tupu tutawapopoa kwa risasi kama arusha thubutu yao,,,,jk anapeta tu mwana wa jakaya mpaka 2015,,
 
Nguvu ya umma haipangwi na haianzishwi na vyama vya siasa, huwa ni wanainji wakawaida na ni spontaneous, kwa hiyo hakuna anayejua kama yatatokea na ni lini.
 
Kutotii sheria na mamlaka zilizopo ndio chanzo cha vurugu zote hizo. Na hakuna nguvu ya umma wala nini, kinacho wasumbua ni kuwa vibaraka wa wanasiasa kwa kufuata kila kitu wanacho waambia. Chambueni pumba na mchele la sivyo mtakuwa mbuzi wa kafara kila siku huku wao wakifurahi na kugongeana cheers !

Hayo ndio mawazo walokuwa nayo akina Iddi Amin Uganda, Shah wa Iran na hivi karibuni Ben Ali wa Tunisia hadi walipoanguka. Usichezee nguvu ya uma.
 
huna point wewe!wala hueleweki!sema ccm imetufikisha hapa tulipo ukianzia na uongozi wa hovyo nyerere mpaka kikwete!

Wewe ishukulu CCM imekufisha hapa ulipo ,leo hii unaweza kutumia mtandao,leo hii unaweza kumiliki simu ya mkononi leo hii unaweza kununua bodaboda ,Mheshimiwa Kikwete akihitimisha muhula huu wa mwisho nakuhakikishieni wengi wenu mtaweza kumiliki magari na bado,CCM inapendwa na walio wengi kuliko vichwa vyenu vinavyofikiria,nyie vipi ?Hivi mnaitazama CCM kwa woga ,leteni za kuleta muone umma utakaozuka kumlinda Kikwete mnafikiri nyi peke yenu ndio mna chama na viongozi wa ajabu ajabu.
 
,

Siamini kama maandiko haya yanatoka kwa kada mwaminifu wa CUF, kuna nini hapa?
 
JK atalindwa na wewe, makamba mama yako, Hizza Tambwe mumeo.

Wengine hutawaona
 
Watanzania walio wengi wameapa kuwa ikiwa patatokea kundi linalojidai kutumia nguvu za umma kumuondosha Raisi Kikwete nao pia watatumia nguvu za Umma kuhakikisha kuwa anabaki madarakani hadi mwisho wa awamu yake.

Baadhi ya waTanzania hao walidai madai yanayotolewa na vyama vichache kuwa itumike nguvu ya umma kumuondoa Mheshimiwa Raisi Kikwete madarakani ni ya makundi ambayo yamepoteza muelekeo na sasa wanataka kulisambaratisha Taifa hili lenye utulivu na amani na kuliingiza kwenye vurumai lisilojulikana mwisho wake.

WaTanzania hao ambao wengi wao wanasema sisi ni wengi kuliko walioko kwenye hayo makundi wataonyesha ni namna gani nguvu za umma zinatumika kuhakikisha Raisi waliemchagua anaendelea kubaki kwenye madaraka kwani uhakika kuwa wingi wao ndio uliomueka madarakani upo palepale na ushindi uliopatikana sio wa kubabaisha au kupapasa ni ushindi uliotangazwa na tume na ambao ndio unaotakiwa uheshimiwe.

Sasa kutokea kwa vishambenga ambavyo vinajitutumua kwenye majukwaa kuwa peoples power itafanya kazi kumuondoa Kikwete madarakani ,wananchi hao walisisitiza madai yao kuwa wanawasuburi hao ambao watakuwa mstari wa mbele kuongoza nguvu za umma na wajiandae kukutana vilevile na nguvu za Umma upande wa Uraisi ,na wamesema watajuta kuzaliwa maana wao ni wengi sana na watakuwa hawana mswalie mtume ni kumlinda Kikwete tu mpaka kieleweke ,lakini hawatamuacha Raisi waliemchagua kuchezewa na watu wachache.
usitulishe matango poli
 
Hebu anzeni bifu muone kama hatujaua chadema wote!

Njia rahisi ya kuiua CDM ambayo haina gharama yeyote ni
Kuondoa/kupunguza kero walizonazo wananchi mf; UJINGA UMASKINI ULIO KITHIRI NA UFISADI hapo hutasikia kelele wala maandamano mwana!
 
Watanzania walio wengi wameapa kuwa ikiwa patatokea kundi linalojidai kutumia nguvu za umma kumuondosha Raisi Kikwete nao pia watatumia nguvu za Umma kuhakikisha kuwa anabaki madarakani hadi mwisho wa awamu yake.

Baadhi ya waTanzania hao walidai madai yanayotolewa na vyama vichache kuwa itumike nguvu ya umma kumuondoa Mheshimiwa Raisi Kikwete madarakani ni ya makundi ambayo yamepoteza muelekeo na sasa wanataka kulisambaratisha Taifa hili lenye utulivu na amani na kuliingiza kwenye vurumai lisilojulikana mwisho wake.

WaTanzania hao ambao wengi wao wanasema sisi ni wengi kuliko walioko kwenye hayo makundi wataonyesha ni namna gani nguvu za umma zinatumika kuhakikisha Raisi waliemchagua anaendelea kubaki kwenye madaraka kwani uhakika kuwa wingi wao ndio uliomueka madarakani upo palepale na ushindi uliopatikana sio wa kubabaisha au kupapasa ni ushindi uliotangazwa na tume na ambao ndio unaotakiwa uheshimiwe.

Sasa kutokea kwa vishambenga ambavyo vinajitutumua kwenye majukwaa kuwa peoples power itafanya kazi kumuondoa Kikwete madarakani ,wananchi hao walisisitiza madai yao kuwa wanawasuburi hao ambao watakuwa mstari wa mbele kuongoza nguvu za umma na wajiandae kukutana vilevile na nguvu za Umma upande wa Uraisi ,na wamesema watajuta kuzaliwa maana wao ni wengi sana na watakuwa hawana mswalie mtume ni kumlinda Kikwete tu mpaka kieleweke ,lakini hawatamuacha Raisi waliemchagua kuchezewa na watu wachache.

Nahisi wewe sio Mtanzania na kama ni Mtanzania hujui usemalo.
 
Shehe yahaya hussein alisema kikwete analindwa na majini sasa ulinzi wa majini unaendelea mtu yeyote anaye taka kumupindua awetayari kupambana na majini
 
Back
Top Bottom