Tutamlinda Kikwete pia kwa kutumia nguvu za umma

CCM wakianza kutumia nguvu ya umma wanaweza wakajikuta wamebakia watu kumi tu; mazoea ya nguvu ya dola ni mazoea mabaya sana, hayaachiki kirahisi. Si umeona Ben Ali kule Tunisia, aliweza kuitumia dola for so loong lakini wananchi wana nguvu zaidi. Ila kwa mtindo wa kumwaga risasi hovyo hovyo kama Arusha nina uhakika hadi CCM walielewe hili somo la nguvu ya wananchi itamwagika damu nyingi sana na nahofia kuwa nyingine itakuwa ni ya watoto wa shule zetu ambao watawaiga wenzao wa Soweto!

CCM haiwezi kutumia nguvu ya umma. Not in a million years. Nguvu ya dola? hakuna shaka.

Hebu anzeni bifu muone kama hatujaua chadema wote!
 
Katika hali kama hii kweli anahitaji ulinzi wa umma.
 
Attachments

  • Mkulu kauchapa.jpg
    Mkulu kauchapa.jpg
    14.9 KB · Views: 48
As if Bunduki mnazo ninyi tu.
Wengine hata JKT tu hamjapita wenzenu enzi zetu JKT tulikaa uchaka wiki 2.
Nipe AK 47 au Rocket Launcher, sihitaji Dessa.
Mmejaa mawazo ya kudhani fedha zinawafanya muwe na akili zaidi kuliko zile mlizozaliwa nazo.
Mfueni ikianza ni Ardhi ya Tanzania tu ndo itabaki salama, vimeavyo na vitembeavyoo juu yake vyote viko hatarini ikiwa nipamoja na hao nusu mgambo wa Green Guard

Ebu anzeni tuone kama hatuja waua wote! Tangazeni tarehe ya ujinga wenu huo
 
Watanzania walio wengi wameapa kuwa ikiwa patatokea kundi linalojidai kutumia nguvu za umma kumuondosha Raisi Kikwete nao pia watatumia nguvu za Umma kuhakikisha kuwa anabaki madarakani hadi mwisho wa awamu yake.

Baadhi ya waTanzania hao walidai madai yanayotolewa na vyama vichache kuwa itumike nguvu ya umma kumuondoa Mheshimiwa Raisi Kikwete madarakani ni ya makundi ambayo yamepoteza muelekeo na sasa wanataka kulisambaratisha Taifa hili lenye utulivu na amani na kuliingiza kwenye vurumai lisilojulikana mwisho wake.

WaTanzania hao ambao wengi wao wanasema sisi ni wengi kuliko walioko kwenye hayo makundi wataonyesha ni namna gani nguvu za umma zinatumika kuhakikisha Raisi waliemchagua anaendelea kubaki kwenye madaraka kwani uhakika kuwa wingi wao ndio uliomueka madarakani upo palepale na ushindi uliopatikana sio wa kubabaisha au kupapasa ni ushindi uliotangazwa na tume na ambao ndio unaotakiwa uheshimiwe.

Sasa kutokea kwa vishambenga ambavyo vinajitutumua kwenye majukwaa kuwa peoples power itafanya kazi kumuondoa Kikwete madarakani ,wananchi hao walisisitiza madai yao kuwa wanawasuburi hao ambao watakuwa mstari wa mbele kuongoza nguvu za umma na wajiandae kukutana vilevile na nguvu za Umma upande wa Uraisi ,na wamesema watajuta kuzaliwa maana wao ni wengi sana na watakuwa hawana mswalie mtume ni kumlinda Kikwete tu mpaka kieleweke ,lakini hawatamuacha Raisi waliemchagua kuchezewa na watu wachache.

Pombe
 
Tatizo hamfuati uzazi wa majira baba wa Taifa alikuwa akigusia hili kwenye mikutano yake lakini hamukumusikiliza sasa ,unajua kasi ya population ya Tanzania ? Tanzania hakuna shida hiyo unayoisema mbona vijijini maisha ni mazuri tu.

Unazungumzia vijiji gani mkuu,mbona unatukana watu!Kwa taarifa yako mi naishi kijijini,huku hali ni mbaya watu wanakula mlo mmoja tu kwa siku,wagonjwa wanafia majumbani kwa kukosa uwezo wa kugharamia matibabu,hakuna maji safi(hayo machafu wanayotumia wanayapata mbali),sababu ya uhaba wa maji kuoga,kufua kwa nadra,magonjwa ya ngozi na kuhara damu yamejaa huku.Shuleni watoto wanakaa chini,hawana viatu(hata malapa),wengi wao hata sare hawana. Shule yetu ya kata ina walimu wawili,vifaa vya kufundishia hakuna. Makazi yao ni duni,nyumba za tope na nyasi. 0 We unafurahia maisha,hata unafikia hatua kutukana wenzio,yana mwisho hayo.p
 
CCM(TIGER PICTURE) THAT IS ALWAYS WALKING WITH ONE LIMB and at the same Limb,Nguvu ya uma under Dr.inafyafyanya.
 
Watanzania walio wengi wameapa kuwa ikiwa patatokea kundi linalojidai kutumia nguvu za umma kumuondosha Raisi Kikwete nao pia watatumia nguvu za Umma kuhakikisha kuwa anabaki madarakani hadi mwisho wa awamu yake.

Baadhi ya waTanzania hao walidai madai yanayotolewa na vyama vichache kuwa itumike nguvu ya umma kumuondoa Mheshimiwa Raisi Kikwete madarakani ni ya makundi ambayo yamepoteza muelekeo na sasa wanataka kulisambaratisha Taifa hili lenye utulivu na amani na kuliingiza kwenye vurumai lisilojulikana mwisho wake.

WaTanzania hao ambao wengi wao wanasema sisi ni wengi kuliko walioko kwenye hayo makundi wataonyesha ni namna gani nguvu za umma zinatumika kuhakikisha Raisi waliemchagua anaendelea kubaki kwenye madaraka kwani uhakika kuwa wingi wao ndio uliomueka madarakani upo palepale na ushindi uliopatikana sio wa kubabaisha au kupapasa ni ushindi uliotangazwa na tume na ambao ndio unaotakiwa uheshimiwe.

Sasa kutokea kwa vishambenga ambavyo vinajitutumua kwenye majukwaa kuwa peoples power itafanya kazi kumuondoa Kikwete madarakani ,wananchi hao walisisitiza madai yao kuwa wanawasuburi hao ambao watakuwa mstari wa mbele kuongoza nguvu za umma na wajiandae kukutana vilevile na nguvu za Umma upande wa Uraisi ,na wamesema watajuta kuzaliwa maana wao ni wengi sana na watakuwa hawana mswalie mtume ni kumlinda Kikwete tu mpaka kieleweke ,lakini hawatamuacha Raisi waliemchagua kuchezewa na watu wachache.

-Mbona unatapatapa kama habari za ki-intelijesia zinasema NGUVU YA UMMA inavamia kesho Ikulu?
-Watanzania hao waliapia wapi na nani aliwaapisha, kama una maana ya polisi hapo sawa maana hata wajeda wengi hawana time naye!
-Madai ya vyama vichache ni sauti ya umma kuliko chama kimoja sauti ya mafisadi!
-Nani alikwambia Rais akiondoka madarakani Taifa lina sambaratika? Waliondoka akina Nyerere, Mwinyi na Mkapa Taifa halikusambaratika! Au unataka kusema CCM wameandaa El Shabab (Green Guard) kuingia msituni kuondoa na utulivu maana amani mpaka sasa haipo?
-Tanzania ina watu 40mil, waliojiandikisha kupiga kura ni 21Mil (Watu wazima wote-mjadala!!!!), CCM ina wanachama 5Mil (Waliopiga kula na kuchakachua!!!) Hao unaosema wengi waliomuweka madarakani mkwere wanawazidi wele 15Mil? (au Hesabu ulipataga yai)
-Tume kutangaza matokeo ni kitu kimoja na ushindi wa uchaguzi ni kitu kingine, leo umeshasahau ya Kivuitu?
-Nguvu ya Umma upande wa Rais ni vyombo vya dola siyo nguvu ya wananchi, historia imethibitisha huwezi kuzuia nguvu ya umma,ile ni kitu ingine zaidi ya Tsunami.
-Usemapo Wao ni wengi sana labda kwa maana ya zana wanazo nyingi sana za kuulia raia bila mswalie mtume (harufu ya mujahidina) hapo ntakuelewa.

Kwa ushauri tu, kamwambie aliyekutuma akubali kuusikiliza umma na kutekeleza matakwa yao, mkwara mbuzi hautasaidia, "huwezi kuzuia mafuriko kwa kujikinga na mwamvuli"
 
Watanzania walio wengi wameapa kuwa ikiwa patatokea kundi linalojidai kutumia nguvu za umma kumuondosha Raisi Kikwete nao pia watatumia nguvu za Umma kuhakikisha kuwa anabaki madarakani hadi mwisho wa awamu yake.

Baadhi ya waTanzania hao walidai madai yanayotolewa na vyama vichache kuwa itumike nguvu ya umma kumuondoa Mheshimiwa Raisi Kikwete madarakani ni ya makundi ambayo yamepoteza muelekeo na sasa wanataka kulisambaratisha Taifa hili lenye utulivu na amani na kuliingiza kwenye vurumai lisilojulikana mwisho wake.

WaTanzania hao ambao wengi wao wanasema sisi ni wengi kuliko walioko kwenye hayo makundi wataonyesha ni namna gani nguvu za umma zinatumika kuhakikisha Raisi waliemchagua anaendelea kubaki kwenye madaraka kwani uhakika kuwa wingi wao ndio uliomueka madarakani upo palepale na ushindi uliopatikana sio wa kubabaisha au kupapasa ni ushindi uliotangazwa na tume na ambao ndio unaotakiwa uheshimiwe.

Sasa kutokea kwa vishambenga ambavyo vinajitutumua kwenye majukwaa kuwa peoples power itafanya kazi kumuondoa Kikwete madarakani ,wananchi hao walisisitiza madai yao kuwa wanawasuburi hao ambao watakuwa mstari wa mbele kuongoza nguvu za umma na wajiandae kukutana vilevile na nguvu za Umma upande wa Uraisi ,na wamesema watajuta kuzaliwa maana wao ni wengi sana na watakuwa hawana mswalie mtume ni kumlinda Kikwete tu mpaka kieleweke ,lakini hawatamuacha Raisi waliemchagua kuchezewa na watu wachache.

Hao watanzania unaowawakilisha ni akina nani na ni lini waliapa kumlinda Kikwete? Walikuwa wangapi na hayo maoni uliyakusanya kwa njia gani? Hii ni taarifa yako ya kujihami na ya kizushi tu. Kwa hakika hakuna mtanzania wa nmna hii uliyoelezea. Nguvu ya umma haiwi 'mobilised' na mtu bali 'inaji-mobilise' yenyewe. Nani aliwa-mobilise watu wa Tunisia? Walitoka kila mtu nyumbani kwako wakaingia mtaani, na wakiamua wameamua. Subiri watu waamue kwanza ndipo ulete pumba zako hapa.
 
Watanzania walio wengi wameapa kuwa ikiwa patatokea kundi linalojidai kutumia nguvu za umma kumuondosha Raisi Kikwete nao pia watatumia nguvu za Umma kuhakikisha kuwa anabaki madarakani hadi mwisho wa awamu yake.

Baadhi ya waTanzania hao walidai madai yanayotolewa na vyama vichache kuwa itumike nguvu ya umma kumuondoa Mheshimiwa Raisi Kikwete madarakani ni ya makundi ambayo yamepoteza muelekeo na sasa wanataka kulisambaratisha Taifa hili lenye utulivu na amani na kuliingiza kwenye vurumai lisilojulikana mwisho wake.

WaTanzania hao ambao wengi wao wanasema sisi ni wengi kuliko walioko kwenye hayo makundi wataonyesha ni namna gani nguvu za umma zinatumika kuhakikisha Raisi waliemchagua anaendelea kubaki kwenye madaraka kwani uhakika kuwa wingi wao ndio uliomueka madarakani upo palepale na ushindi uliopatikana sio wa kubabaisha au kupapasa ni ushindi uliotangazwa na tume na ambao ndio unaotakiwa uheshimiwe.

Sasa kutokea kwa vishambenga ambavyo vinajitutumua kwenye majukwaa kuwa peoples power itafanya kazi kumuondoa Kikwete madarakani ,wananchi hao walisisitiza madai yao kuwa wanawasuburi hao ambao watakuwa mstari wa mbele kuongoza nguvu za umma na wajiandae kukutana vilevile na nguvu za Umma upande wa Uraisi ,na wamesema watajuta kuzaliwa maana wao ni wengi sana na watakuwa hawana mswalie mtume ni kumlinda Kikwete tu mpaka kieleweke ,lakini hawatamuacha Raisi waliemchagua kuchezewa na watu wachache.

Propaganda hizi. Yeye anachotakiwa ni kutetea maslahi ya Umma. E.g. Badala yakuweka priorities kulipa DOWANS angetafuta ufumbuzi wa tatizo la umeme kwa wananchi wake. Yeye afanye kazi yake vizuri no body will bother him. Lakini hii post inaonyesha serikali imeanza kuogopa ya Tunisia yanaweza tokea, ndio maana wewe na wenzio mnaanza kufanya damage control! I might be wrong but lets wait and see.
 
Siombei nchi iingie kwenye machafuko,ila linapokuja swala la haki sawa kwa wote sina compromise,,,bora kufa ukitetea wengi na kauli yako ikaishi,kuliko kuendelea kuishi umekaa,,,martin luther alikufaa kishujaa akitetea maslah ya wengi,na leo yeye ni shujaa,,hatuwezi kuendelea kukubali ufisadi na ukandamizwaji mkubwa wa demokrasi kwa kisingizio cha amani,,,the stuggle cotinues
 
Hebu anzeni bifu muone kama hatujaua chadema wote!

I do not think ni issue ya Chadema ni kila mtu aliyechoshwa na huu umaskini. Cha muhimu ni kuwa na viongozi wachapakazi regardless chama anachotoka (watu wenye uchungu na rasilimali zetu).
 
[B]Sasa kutokea kwa vishambenga ambavyo vinajitutumua kwenye majukwaa kuwa peoples power itafanya kazi kumuondoa Kikwete madarakani ,wananchi hao walisisitiza madai yao kuwa wanawasuburi hao ambao watakuwa mstari wa mbele kuongoza nguvu za umma na wajiandae kukutana vilevile na nguvu za Umma upande wa Uraisi ,na wamesema watajuta kuzaliwa maana wao ni wengi sana na watakuwa hawana mswalie mtume ni kumlinda Kikwete tu mpaka kieleweke ,lakini hawatamuacha Raisi waliemchagua kuchezewa na watu wachache. [/B]nafikiri raisi ana nguvu ya dola na ataitumia
pili tafsiri ya nguvu ya umma sio hiyo fuatilia tunisia uone kilichotokea tatu kuchezewa na watu wachache ni wale wale washikaji zake alioanzanao kuongoza nae 2005
 
Inaonekana Mwiba hata hujui uko upande upi kwa posts zako kinzani, na sijui ni wananchi wangapi uliowahoji ukafikia hitimisho lako.
 
Chadema mwisho wake siku CCM ikimchagua Sitta kuwa presedential candidate kwisha kazi yao...wanachotaka ni rais awe anaenda kanisani period! nasi tulijua hilo

So gues what we will manipulate and be winner 2015..ccm oyee!
 
Mwiba angalia yaliyotokea Tunisia yanaweze kutokea Tz. pia. Watanzania wa mwaka jana si wa mwaka huu. Tumechoshwa na huu upuuzi wa serikali ya jk haina mwelekeo inaendeshwa kiholelaholela. Rais wako nchi imemshinda aachie tu awape watu wengine. Nchi ipo gizani hakuna maji naye kakaa kimya tu kama hayupo. Wamekausha hazina na uchaguzi sasa anashindwa ajue aanzie wapi. Aibuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom