Tutamkumbuka Samia, kwani anaenda wapi?

Tutamkumbuka Samia, kwani anaenda wapi?

Kuna kukumbukwa kwa aina nyingi.

Kwa mtu ambaye amekaa madarakani kuongoza taifa; kwa nini asikumbukwe.

Hii miaka sita/saba aliyokaa madarakani itapotea vipi katika historia ya Tanzania. Tanzania haijafa, ipo na itaendelea kuwepo; kwa hiyo kutakuwepo na mwendelezo wa historia yake ya uwepo wake wote.

Hiyo kumbukumbu ya kiongozi mbovu kama Samia itaonyesha hivyo hivyo, ubovu wa uongozi wake. Hilo ndilo litakalokumbukwa katika historia hiyo.
 
Kukumbukea ni jambo la kawaida kwa mtawala wa aina yake mara tu baada ya kufa au kutoka madarakani. Muhimu aangalie atakumbukwa kwa yapi! Mazuri mengi na mabaya machache, au atakumbukwa kwa mazuri machache na mabaya mengi!
"tahadhari" hanayo tena; kishajifunga kwenye hayo mabaya ambayo hawezi kuyafuta.
 
Mimi samia nitamkumbuka kwa jambo moja tu mauaji ya oktoba 29 na siku akifa kabla yangu nitafanya sherehe kubwa na akichelewa kufa nitaacha wosia kwa wajukuu kifo cha samia ni sherehe kwa ukoo mzima
 
Back
Top Bottom