siyo wote wengine hatuna chama. chama chetu ni HELA......!
kwa hiyo umeletwa nini huku?
Exactly,ccm akili ndogo sana,hawawezi kushindana na vijana wenye hoja kutoka M4C
Kamanda! JF siyo mali ya Chadema.
teh teh teh teh...kamanda bora umempa za uso
mimi niko DP
Mnapiga mbizi kwenye lami.
..Naona vijana wa CHADEMA mmeshindwa kuukomboa wakati...!
mimi niko DP
sasa kimekuleta nini huku kama sio umbeya,kwa nini mnakuwa wagumu wa kuelewa? Hapa wanahitajika makamanda,basi ungetype poweer hata kinafiki basi sio kutuletea DP sijui ndio kitu gani,chama hakina hata mbunge mmoja na wewe unajiita mwanachama? Aacheni kujiaibisha