Tutakusaidia kujua mkeo/mumeo anachepuka

Unahitaji kujua kama mpenzi wako/mme/mke wako anachepuka?

Unahitaji kujua anachepuka na nani?

Unahitaji kuwafumania kwa ushahid husika?

Ni rahisi sana!! Wasiliana nasi tutaifanya kazi ya kukupelelezea mwenzi wako mpaka kujua kama anachepuka na anayechepuka nae

Tutakupa ushahid wa kila kitu mfano picha,mawasiliano yao yote ndani ya wiki moja pekee

Wasiliana nasi kwa no...0725591593 tupo tayali kukuhudumia muda wowote

Sharti! Iwe ndani ya Dar es salaam/ kwa mkoan kama unaweza kugharamia sawa
Muhimu kwa walioko kwenye uchumba au wanaotaka kuwaacha wenza wao na wamekosa sababu yenye mashiko
 
Kuendelea kupata vichekesho hivi bonyeza 1 kurudi kwenye mchakato wa katiba mpya bonyeza 2 kuongea na kichaa mmoja kati ya watu wanne bonyeza 3.
 
Sasa utapeli uko wapi hapo? Unafanya kwa upendo wako!! Umeamua kumchunguza mkeo na kuwapa watu kazi waifanye na wakifanikisha ndo unawalipa hapo utapeli unatoka wapi? Acheni kfikiri kwa kutumia makali yenu pumbavu
Biashara Imani.

Unatakiwa uwe mpole.

Kubali kukabiliana na changamoto.

Hiyo ni moja ya changamoto
 
Ubunifu, Safi sana.... Nami ni mteja wenu
 
Unahitaji kujua kama mpenzi wako/mme/mke wako anachepuka?

Unahitaji kujua anachepuka na nani?

Unahitaji kuwafumania kwa ushahid husika?

Ni rahisi sana!! Wasiliana nasi tutaifanya kazi ya kukupelelezea mwenzi wako mpaka kujua kama anachepuka na anayechepuka nae

Tutakupa ushahid wa kila kitu mfano picha,mawasiliano yao yote ndani ya wiki moja pekee

Wasiliana nasi kwa no...0725591593 tupo tayali kukuhudumia muda wowote

Sharti! Iwe ndani ya Dar es salaam/ kwa mkoan kama unaweza kugharamia sawa

HAPO NILIPOWEKEA RED: NI KOSA KISHERIA KUDUKUA MAWASILIANO YA MTU
 
Unahitaji kujua kama mpenzi wako/mme/mke wako anachepuka?

Unahitaji kujua anachepuka na nani?

Unahitaji kuwafumania kwa ushahid husika?

Ni rahisi sana!! Wasiliana nasi tutaifanya kazi ya kukupelelezea mwenzi wako mpaka kujua kama anachepuka na anayechepuka nae

Tutakupa ushahid wa kila kitu mfano picha,mawasiliano yao yote ndani ya wiki moja pekee

Wasiliana nasi kwa no...0725591593 tupo tayali kukuhudumia muda wowote

Sharti! Iwe ndani ya Dar es salaam/ kwa mkoan kama unaweza kugharamia sawa
Wanaume mapovuu yanawatoka[emoji13] [emoji14] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ha haha naona mnatafuta wakina scorpion wengne wawafate nyie endeleen
 
halaf ni wagombea wa kile chama fisiemu, watch out hawa viumbe wa hiki chama wanakula hadi nyama za watu!
 
Unahitaji kujua kama mpenzi wako/mme/mke wako anachepuka?

Unahitaji kujua anachepuka na nani?

Unahitaji kuwafumania kwa ushahid husika?

Ni rahisi sana!! Wasiliana nasi tutaifanya kazi ya kukupelelezea mwenzi wako mpaka kujua kama anachepuka na anayechepuka nae

Tutakupa ushahid wa kila kitu mfano picha,mawasiliano yao yote ndani ya wiki moja pekee

Wasiliana nasi kwa no...0725591593 tupo tayali kukuhudumia muda wowote

Sharti! Iwe ndani ya Dar es salaam/ kwa mkoan kama unaweza kugharamia sawa
mbona no ulizotoa ni za safaricom
 
Wacha niendelee kumpenda my maana mtoa status hana nia njema nami......Mimi ninaxhoangalia je watoto tunaozaa ni wanaendana nasi/nami.....kwisha mengine staki kabisa kusikia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom