tutakuja kuuana humu.

Japokua nimeambiwa nkae kimya nsubiri ukaguzi ila uzalendo sasa umenishinda naomba kutangaza kabsa sina imani na wanaonifanyia ukaguzi Erickb52 pamoja na Asprin.
Heheheheeeee Shixi889 unatafuta balaaa eeeeh
Yan ukijifanya huna imani na mimi na Asprin itakula kwako....!
Hebu waulize akina Madame B cacico na Bishanga nani humu ni MODERATOR?
Yan tulia kimya hata kama hutaki kukaguliwa vumilia kukaguliwa tu uwe na amani otherwise nakulamba Ban faster
 
Last edited by a moderator:

Mwambie kabisa tukishakagua tunamnadi kwa vijana wanawowa kabisa. We mwache aringe tu, akija kosa wachumba kama Catherine shauri yake.

 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
sasa huo ukaguzi wa lazima kwani upo??? mbona kazi??
Kaazi kweli kweli ila mbona unataka kuniharibia Madame B ?
Tatizo lako nini?
Wivu au?
Haya uje nae basi nitawakagua wote eeeh
Halafu sijawahi kukukagua hata mara moja lol
Uje please
 
Last edited by a moderator:

Jamaniii,
Ataogopa bidada.
Hapo sina usemi,
njoo tu ukaguliwe.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…