Tutakaoibuka valentine single tujuane hapa

Tutakaoibuka valentine single tujuane hapa

Mambo zenu wakuu?

Tutakaoibuka valentine single and we never regret it. Big up to us. Japo kiugumuugumu kwangu aisee,..maana upweke nao nongwa lakin unakuwa umekwepa vingi viumizavyo. Yes am single mom again. (Kiukweli kinachoniponza ni hasira nikigundua kitu bas nareact and no retreat no surrender.)pole mimi.

Kuwaza kuhusu mtu atakaye kupenda na kukupa zawadi kwa siku moja tu (14 Feb) ni ugonjwa wa akili.
Lakini usijali mimi nitakununulia zawadi ya mbalamwezi
 
Kuwaza kuhusu mtu atakaye kupenda na kukupa zawadi kwa siku moja tu (14 Feb) ni ugonjwa wa akili.
Lakini usijali mimi nitakununulia zawadi ya mbalamwezi
Sawa mkuu
 
Wengine tunachagua tutoke au tusherekee na yupi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poleeeh sana.
 
Mimi sijui huwa wanaishije kwakweli,

maana mimi hata zile siku 3-4 za blidi kila mwezi mi naonaga Kama zinaniletea kiwingu kwenye Mambo yangu[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha mkuu unazoea tu na mambo yanakwenda sawa, maana wakati mwingine Ni ngumu kulazimisha maji yapande mlima,Kama huoni wa kufanana nae hakuna haja ya kulazimisha mahusiano.
 
How valentine's day treated me🍦🧁😋, yaani mtaaani kumezagaa couples vibaya, mara huyu kavaa gauni jekundu kama mtungi wa oryx, baby wake naye kavaa kofia nyekundu kama kibanda cha mpesa, basi tafrani tupu, bodaboda nao wako busy couples zijui zinaenda wapi,kama siyo (lodge)😂

20220215_001703.jpg
 
Back
Top Bottom