Tutafanya baada ya kuoana

Lungutz1

Member
Joined
Jun 23, 2023
Posts
37
Reaction score
75
Huwa unamchukuliaje mpenzi wako anapokuambia tutasex baada ya kufunga ndoa/kuoana? Hivi jambo hilo lina faida yoyote?
Jamaa yangu ananilalamika kila siku anadai mpenzi wake anakataa kutoa mali kisa anaogopa watachokana mapema lakini pia kiimani ni kosa/dhambi!

Hela zake anazidi kula, rasilimali zake baadhi anazitumia ila sex ni mpaka waoane, wakati huo ana wivu mkubwa, hataki hata asimame na mdada ni kesi kubwa.

Hapo kuna mapenzi au usanii? Na huwa inafaida gani kuishia kutamani tu mpaka muoane?
 
Uyoo demu ni mwiziii kama wezi wenginee
 
Eeh mwambie nayeye atachoka mapema kumpa hela. Wasubirie hadi waoane ndio apewe hela.
 
Mbaya zaidi unasubiri mpaka siku ya ndoa halafu siku ikishafika mnamaliza kifunga ndoa usiku mko kitandani unaingiza mashine inaingia yote bila kukwama wala kugusa ukuta yaani utadhani umeingiza kwenye ndoo[emoji38][emoji38][emoji38]huko nyuma nako unagundua masela walishaamisha bawaba na kung'oa komeo
 
Usanii anawapa wengine mgodi utakuwa na tatizo
 
Unakuwa umeuziwa sabuni ukizani simu
 
[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…