Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,482
- 9,517
Nakuunga mkono aisee, sisi ndio tatizo, we angalia hiyo illiterace ilivyoandikwa...!!! majanga, kwann usiandike kiswahili?
Pia kuna "povert" na "coruption"
Nakuunga mkono aisee, sisi ndio tatizo, we angalia hiyo illiterace ilivyoandikwa...!!! majanga, kwann usiandike kiswahili?
naona aibu.....sema usiogope Kabanga
Na sio mchezo...kabaaaaang nyingi tu hakuna maendeleo