Tutafakari juu ya gharama hizi za Harusi

Tutafakari juu ya gharama hizi za Harusi

Ndungu wana jamvi habari za asubuhi, ni matumaini yangu kuwa mmeamka salama na mnendelea na shughuli zenu za kulijenga taifa.

Hebu tutafakari juu gharama tunazochangia katika sherehe za harusi ambazo zimekuwa zikipanda kila siku.

Tunachangia gharama hizi kubwa sana ambazo mwisho wake wanaonufaika ni wamiliki wa kumbi. Wanaoweka mapambo wapishi ma MC na usafiri n.k.

Huku walengwa yaani bibi na bwana harusi hubaki hawa na zawadi yeyote au watapewa zawadi ya kamati kiasi kidogo sana.

Tubadilikeni tuache tabia hii ambayo kwa sasa imekuwa ndiyo utamaduni wetu kama hujamfanyia kijana wako sherehe hizi basi kwa sasa utaonekana huna maana.
Kwa fano mkichanga sh.million 20 basi gharama ukumbi million 3 chakula million 12 mapambo million 2 na kadhalika.

Pesa hizi zikichangwa wapewe bwana na bibi harusi ili wakaanze maisha.

Ndoa kamili hufanyika kanisani au msikitini haya mambo ya kwenye kumbi ni kupoteza pesa muda na kujifakhirisha.

Tubadilikine najua watakuja hapa watu wanaonufaika na biashara hizi kupinga lakini ukweli unabaki palepale.
Ndoa ya dini gani inayofungwa msikitini?
 
siku hizi tumestukaaa...michango yote tunashikilia walengwa wa sherehe..mfano harusi ndugu na jamaa marafiki watachngia but michango anaeka bwana hausi bank..mnampa mahitaji ye anawasilisha pesa
me wakitaka kunifanyia send off ntashikilia mwenyewe hela
Mkuu labda hujanielewa hoja yangu ni kwamba hata kama utashikilia huo mchango lakini mwisho wa siku hizo pesa zinakwenda kwa mapambaji mc chakula na kadhalika.
Hoja yangu ni kwamba sehemu kubwa ya fedha hizo iende kwa maharusi na siyo kama ilivyo sasa.
 
wanawake ndio wanasababisha huu ujinga usiishe... kuanzia mama, dada, shangazi, mke mtarajiwa wote wanataka kuserebuka
Ni kweli mkuu akina mama juu ya jambo hili huwaambii kitu
 
Kuna raha gani kula makuku siku ya harusi ila kwenye ndoa mnaenda kula maharage kila siku!? Yaani ni upuuzi ulioje!!!
Ni kweli mkuu magari ya kifari yanaandaliwa na mara nyingine wakalale kwenye hotel honeymoon wakitoka hapo wanaenda kwenye kachumba kao kamoja
 
naomba nikufaham nyuma ya key board.. maana hiyo spirit kukutana nayo ni kuokota embe chini ya mpapai.

mtu amepanga chumba kimoja ila anafanya harus ya milion 20

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio tomboy ila sina roho ya kidada!
Labda tom boy inside
 
Back
Top Bottom