Tusubirie mrejesho kazi za sensa

logan007

Senior Member
Nov 22, 2020
197
200
Takribani ni wiki mbili toka tangazo halali linalowataka vijana wenye sifa na ari ya kushiriki Katika zoezi la sensa hapo 23/08/2022 hatimae zoezi la kuomba nafasi hizo za ajira za muda linamaliza leo ifikapo hapo saa sita kamili usiku.

Kilichobakia tusubiri MBIVU NA MBICHI katika mkeka wetu huu wa sensa.

Tuonane kwenye SEMINA.
 
Mjiandae tu kwenda kwenye semina na kupiga kazi kwa weledi, kila la kheri.
 
Hizi Ajira wafanye tu kama za Ualimu na Afya.. Yaan ni mwendo wa kukata vichwa tu.. mwsho wa siku ipatikane idadi hyo inayotakiwa(205,000) then waitwe kwenye semina. Mambo sijui Usaili sijui nn alafu watu tukajazane huko ofisi za Halmashauri sijui kata tena sisi watu wazima tukasukumane na watoto ni upumbavu kwanza watu tuna kazi zetu huo mda wa kusumbuana hatuna.. wakate juu kwa juu hukohuko tukipata sawa tukikosa sawa maana hatuwezi kupata wote Hali ya kuwa waombaji ni wengi.
Kwanza hii itasaidia hata upunguzaji wa matumizi ya resources (Money) maana issue ya kusimamia saili Tz nzima kata zote na watu kibao hao Attendants watawalipa pesa nyingi alafu mambo yenyewe yataenda locally.

NBS kateni vichwa then mtupie mkeka wa watu kwenda seminar mambo yaishe hvyo.
 
Umeongea pointi nzuri sana mkuu

Ila ndio hivyo lazima wa force usaili sasa najiuliza sjui huwa hawafikirii
 
Back
Top Bottom