Tusubiri vituko teuzi za maDC na maDED

Mama Samia nakuomba upige ma DED wote chini..uchague wale professional..na sio wale waliogombea CCM wakashindwa, wakawekwa na Magu. Please. Najua unanisoma hapa mama
 
Utakuta anateua mzenji kuwa mkuu wa Wilaya Igunga. Hili linawezekana kweli?
Halafu hili suala la vijana wa kizanzibar kuajiriwa kwenye wizara ambazo sio za muungano ni sahihi? Mfano, Afya na Elimu. Watu hao wanachukua ajira za vijana wengi wa bara ilihali sisi wa bara hatuajiriwi Zenji. Naamini wizara husika watalizingatia suala hili Wakati wa kupanga post.
 
Back
Top Bottom