Mohamed Said JF-Expert Member Nov 2, 2008 20,924 30,273 May 29, 2021 #1 TUSOME HISTORIA YA TANU NA UHURU WA TANGANYIKA Hawa vijana wamevutiwa sana na historia ya Abdulwahid Sykes wameagiza vitabu hivyo kutoka Dar es Salaam. Hawa vijana wako Shinyanga. Wana nakala pia ya kitabu cha Rajabu Ibrahim Kirama.
TUSOME HISTORIA YA TANU NA UHURU WA TANGANYIKA Hawa vijana wamevutiwa sana na historia ya Abdulwahid Sykes wameagiza vitabu hivyo kutoka Dar es Salaam. Hawa vijana wako Shinyanga. Wana nakala pia ya kitabu cha Rajabu Ibrahim Kirama.
Lord OSAGYEFO JF-Expert Member Feb 19, 2021 3,086 4,881 Jun 23, 2021 #2 Kwanini Historia ya TAA na TANU Ilipotoshwa?