Anaunguruma wakati umetuambia keshaachapwa mbili bila? Au anaunguruma kuchinjwa?
Hz timu zt bwana eti yanga wanajiona bora kufungwa goli 1
Hz timu zt bwana eti yanga wanajiona bora kufungwa goli 1
Hz timu zt bwana eti yanga wanajiona bora kufungwa goli 1
Msimamo wa mechi 2 ni:
1. Tusker FC: Pts 6, GD 4
2. Yanga SC: Pts 0, GD -1
3. Simba SC: Pts 0, GD -3
Kwa matokeo haya Yanga ni bora kuliko Simba, ni wapi Mkuu umeshindwa kuelewa?