Tusker vs simba tar 29/12/2012

Tusker vs simba tar 29/12/2012

Ndikwega

R I P
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,979
Reaction score
5,529
Hadi sasa mpira ni mapumziko, simba0-2tusker;:
mnyama anaunguruma taifa
 
Hadi sasa mpira ni mapumziko, simba0-2tusker;:
mnyama anaunguruma taifa

Anaungurumaje kwa matokeo ya Simba 0-2 Tusker, au hujui kutafsiri matokeo? Au labda umechanganya ni Simba 2-0 Tusker, fafanua uondoe mtambuka huu.
 
Anaungurumaje kwa matokeo ya Simba 0-2 Tusker, au hujui kutafsiri matokeo? Au labda umechanganya ni Simba 2-0 Tusker, fafanua uondoe mtambuka huu.
Yeye ni yanga hivyo kaandika kiushabiki zaidi..
 
Masikini kumbe wewe wewe ni njano na kijani...

mimi ni yanga damu na ni chadema damu tafadhali crashwise huku kwa mnyama kutakupa stress uache kutwabarisha habari za mkutano wetu pale karatu,. Achana na simba utakufa siku si zako
 
Taska3-0 mnyama a.k.a simba sifuri,.

Mkuu hebu acha utani....wengine hatupo uwanjani...kama ni kweli tuanze kunywa tusker badala ya senge... unajuwa nilishasahau kuna mashabiki wa simba mtaani kwangu hadi tusker walipotubahatisha kamoja ndo utaona na kina Crashwise wanafufuka...
 
Last edited by a moderator:

kaka kunywa kwa raha zako dk ya 65, mtu kala 3-0
 
Last edited by a moderator:
simba oyeeeeeeeeeeeeeeee KIKUNGU itika oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Last edited by a moderator:
Na kesho mkutano wa kuondoa stress umepigwa marufuku.
 
Ningeshangaa sana kama Simba angepata matokeo mazuri leo,kama Vijana wa Brandts walibahatishwa 1 la penalt juzi ulitegemea nini kwa Mnyama tena anayefundishwa na Julio kwa muda huu?
 
Back
Top Bottom