Tusker vs simba tar 29/12/2012

Tusker vs simba tar 29/12/2012

Mkuu hebu acha utani....wengine hatupo uwanjani...kama ni kweli tuanze kunywa tusker badala ya senge... unajuwa nilishasahau kuna mashabiki wa simba mtaani kwangu hadi tusker walipotubahatisha kamoja ndo utaona na kina Crashwise wanafufuka...

ni kweli kwamba achekaye mwisho hucheka sana .........lakini ujue kwamba kulia na kucheka vyote ni kelele........Simba amekalia na Yanga vilevile.............
 
hujuma..hujumaaa!
sisi mashabiki ndo tunaumia lakini sio w£¿£¿chezaji.

Tahadhari:Usimwone simba kanyeshewa ukadhani paka.,bado atazidi kunguruma kule kwa yanga na wengineo.
na kombe atazidi kulibeba tu

Mfa maji haachi kut*p...
 
Mwalimu gfsonwin nasema Simba oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

swadakta mchezaji mwenzangu lol! simba! simba! simba! simba! mwite na asprin aitike...............lol!
 
3-0,3-0,3-0 hizi team za Kenya sasa zinatafuta sifa kwa vipigo wanavyotoa kwa Mnyama,inakuwaje kila team ya Kenya inapocheza na Simba lazima ijiokotee 3-0?

Ha ha ha!sofa paka.
 
Mwalimu gfsonwin tunao mwaka huu mpaka Msomali wamfukuze.......ha ha ha ha ha

mwaka???
yaani mie choka mbaya na hawa watu. wenzao tunapetaaaaaaaaaaaa!!
na hivi mkutano wao umepigwa marufuku sijui mchaw nani hapa
 
mwaka???
yaani mie choka mbaya na hawa watu. wenzao tunapetaaaaaaaaaaaa!!
na hivi mkutano wao umepigwa marufuku sijui mchaw nani hapa

halafu mwalimu gfsonwin,mwaka mpya timu yetu ya Mbezi Beach Veteran SC tunacheza Simba VS Yanga wenyewe kwa wenyewe.Kutakuwa na upinzani sana kwani tuna wachezaji wa yanga Shamte Ally tunafanya nae mazoezi atacheza pamoja na wachezaji wa zamani kama Kaunda Mwakitope na Dan Manembe,Steven Nyenge na wengineo watacheza,karibu sana.Mechi itachezwa huku Mbezi kwenye uwanja wa IMTU University
 
tarehe moja sio??
mie ntakuja aisee lol! ila iwe mida ya jion ndio nitamudu vzr baada ya kupika na kazi zingine lol! tena na hv siku hiz njia imechongwa km 16 tu niko mbez lol!
 
tarehe moja sio??
mie ntakuja aisee lol! ila iwe mida ya jion ndio nitamudu vzr baada ya kupika na kazi zingine lol! tena na hv siku hiz njia imechongwa km 16 tu niko mbez lol!

Dah Mwalimu Gfsonwin mechi itakuwa asubuhi saa nne ili baada ya mechi watu wapate muda wa kula mbuzi na bia si unajua tena.Ila karibu sana
 
Dah Mwalimu Gfsonwin mechi itakuwa asubuhi saa nne ili baada ya mechi watu wapate muda wa kula mbuzi na bia si unajua tena.Ila karibu sana
thanks sana mkuu dah!
ila niwe mkweli mua huo hata wanangu sijawapikia ubwabwa wa new yr itakuwa uongo kweli tena. but nitaiombea club yangu ishinde kama kawa YANGA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom