tusker live on tbc msechu noma

mareche

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
471
95
wajameni kuna kipindi kinaendelea on tbc ila msechu kanifurahisha sana animba kwa hisia kali sana tumpigie kura kwa wingi
 
wajameni kuna kipindi kinaendelea on tbc ila msechu kanifurahisha sana animba kwa hisia kali sana tumpigie kura kwa wingi
Pia nimeona mkuu,hivi kuna njia nyingine ya kupiga mbali na hii ya kutuma kwenda zile namba? nijuze best
 
Kwa mgao huu wa umeme Msechu kaula wa chuya i mean kaumia simu hazina chaji then watu hawamuoni. Dah..
 
Vile Hemedi yuko wapi ? Simwoni bana,last week alitinga stage style ya jeshi la mwavuli.ehh bana.
 
Jamani, kwetu jana ilikuwa noma kwa kuwa tulikuwa na giza (mgawo wa umeme) hata sijui
tutamuokoaje mtu wetu!
 
Back
Top Bottom