Tusker Cup 2009

Simba kaiting Nusu Final
Kashinda 2-1 Vs Mtibwa

Naona Yanga VS Simba Semi-Final..labda Yanga wkubali kipigo kesho from Tusker ili amkimbie mnyama...
Kwa jinsi Yanga anavomuhara mnyama lazima aachie afungwe!! Tutaona wadau, nna uhakika na hii kitu
 
Yanga 3-Tusker 1,
inamaana Simba vs Yanga jumatano..bila shaka game litapigwa kwenye uwanga wa Taifa...wasiwasi wangu yanga atachomoa
 
Hahaa! Yani kandambili wamejiingiza wazima wazima kwenye mdomo wa mnyama !! Swali ni kwamba je watatokea uwanjani? Please Madega, leta timu uwanjani..pliiiiizzz

Mkuu hujarudi tena kuyapitia (review) haya maneno yako, karibu sana. Mliopo bongo tupeni update, Simba na Tusker ilikuwaje?
 
As i write this post we r into the 12th min of 1st half. Still 0-0 btn Yanga and Sofapaka. The pitch is very attracting and the whole of Dar sky iz covered with cumulonimbus type of clouds which r threat to possible heavy rain.
Most of the ball in th opening minutes has been played in the sofapaka'z half.
 
bad news kwa Wanayanga pamoja an Watanzania wote wapenzi wa soka na si washabiki wa klabu. nieleweke hapo

Hapana bana mie nitoe kwenye hiyo list, kweangu ni goodnews kanda2 ni nyoka ukimuiona popote ua!
 
Nilikuwa nawaza Popic anaweza kuchukua mikoba ya Maximo kiukamilifu, lkn kama Yanga aishindi leo, nitamuondoa kocha huyo kwenye orodha ya makocha waliopo nchini ambao wanafaa kuiongoza Stars.
 
No change on the scOre line. Tbh am enjoyin th scoreline so far ukichukulia mi ni simba fan. Mli2pigia kelele sana yanga mlipo2funga.
 
safi sana, wapeni vitumbua vya jangwani hao mapaka wa kwenye masofa.
 
Back
Top Bottom