Hahhaa mkuu unataka kujua chanzo. We acha kuwapiga watoto tusije tukampiga picha akiwa analia tuibandike hapa.
Tatizo wengine wanalia kihuni tu.Watoto wanasikitisha sana wakilia. Tusiwe tunawaudhi.
View attachment 1054015View attachment 1054016View attachment 1054017View attachment 1054018View attachment 1054019View attachment 1054020View attachment 1054021View attachment 1054022View attachment 1054023View attachment 1054024View attachment 1054025View attachment 1054026View attachment 1054027View attachment 1054028View attachment 1054029View attachment 1054030View attachment 1054031View attachment 1054032View attachment 1054033View attachment 1054034
Hahhaa we jamaa ni noma. Watoto raha wawe wanacheka tu. Au tuweke na watoto wakicheka uone wanavyopendeza😀😀Kulia kwa Mtoto ni Moja ya Majukumu yake, ikiwa ni Pamoja na Kulala, Kula na Kucheza! Asipotimiza Mojawapo ya hayo bado haiko sawa.
Tutatengeza Ulimwengu wa Mashoga sasa!Hahhaa we jamaa ni noma. Watoto raha wawe wanacheka tu. Au tuweke na watoto wakicheka uone wanavyopendeza😀😀