G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,335
- 5,184
Kwa hiyo hata ile 7/7 ya nkamia huitaki?Sisi hatutaki hiyo habari ni jpm mpk maisha tu
Kweli wewe imetisha, katiba kma ya VaticanSiyo mimi tu. Wote. Hiyo 7/7 cha mtoto. Ni life prezaaa basi
Hakuna nyingineAwamu ijayo ameandaliwa Majige Madirisha Matogoro.
Sasa kumbe? Mnatusumbuasumbua hapa. Mara hoo mara hoo. Halafu na magazeti yote kule kama urusi pravda tuKweli wewe imetisha, katiba kma ya Vatican
Si alisema rais aongoze kwa muda wa miaka 7/7 mkuu.Mkamia Hoja ya 7 kwa 7 vipi?
Hilo halina ubishi, sipati picha akina Nape, Makamba , Mwigulu watahamia wapi mkuu make hatapakalikaDr slaa anaenda kuichafua chafua ccm
Swissme
Ishasomwa hiyo hoja ndani ya bunge? Maana si unajua bunge iyo LIVE?Si alisema rais aongoze kwa muda wa miaka 7/7 mkuu.
Mkuu inaonekana uko nyuma sana kwenye kufatilia habari hata humu jf, hiyo hoja jamaa aliitoa karibia mwezi umepita kuwa ataipeleka bungeni, hadi rais akaitolea majibu, na yalikuwa ni mapendekezo yake binafsi, sitaki niwe msemaji wake..Ishasomwa hiyo hoja ndani ya bunge? Maana si unajua bunge iyo LIVE?
Lijamaa litakuwa linaanda kikosi cha warithi wakeHata mimi wazo hilo lilinijia ghafla tu siku 2-3 zilizopita!