Tusishangae Virusi vya Corona kuingia nchini

Tusishangae Virusi vya Corona kuingia nchini

Apa Tanzania hawapimi
Kila siku naenda airport hamna cha kupima wala nn
Wanakuosha mikono na kukupima joto basi
Inshort hatuna njia nzr ya kujikinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliona juzi ktk tv habari Uwanja wa ndege KIA wageni wakishuka miongoni mwao walikuwepo wachina!tena wachina walionyesha furaha ya waziwazi kufanikiwa kuingia nchini.
Kweli mkuu tunawapokea kwa wingi sana wanadai wanakuja kutalii sababu ni msimu wa sikukuu kule kwao na kuepuka ugonjwa pia ipo.

Tatizo waliopewa jukumu la kupima wageni ugonjwa ndiyo hawapo makini ukifuatilia pale airport.
 
Wambagala je,
Wote hao na wengine wasiotumia daladala watadhurika tu, cha msingi tuanze na hizi kitu ni full fulsa mdau au...
green-cross-nose-mask-250x250-250x250.jpg
 
Mtu anaweza ingia nchini akiwa na covid-19 ambayo haiko active lakini baada ya siku kadhaa ikaibuka inategemea nini. Ni Mungu tu anatulinda sisi Wayahudi wa Africa.
Mtu akiambukizwa leo ugonjwa siku ngapi dalili huanza kujitokeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii utaipata wapi?,hebu fikilia China na maviwanda you Yale bado wanapungukiwa na hii kitu
China hawakujipanga ilikuwa gafla na kuna waliowin.
👆
Muda ndiyo huu mkuu kwenda kununua kwa jumla kwenye maduka ya jumla na kuhifadhi ili baadaye biashara ifanyike.
Tutaziagiza kutoka nchi gani?
👆
Mkuu zilizopo madukani zitakupa faida ya kutosha, kumbuka kwenye shida ndipo wengine upiga pesa.
 
China hawakujipanga ilikuwa gafla na kuna waliowin.
👆
Muda ndiyo huu mkuu kwenda kununua kwa jumla kwenye maduka ya jumla na kuhifadhi ili baadaye biashara ifanyike.

👆
Mkuu zilizopo madukani zitakupa faida ya kutosha, kumbuka kwenye shida ndipo wengine upiga pesa.
Inaonekana unapenda huu ugonjwa utokee unavyosisitiza hizo musk.....huko China zimezuia maambukizi kwa kiasi gani mpaka sasa?
 
Tahadhari mkuu.
Inaonekana unapenda huu ugonjwa utokee unavyosisitiza hizo musk.....huko China zimezuia maambukizi kwa kiasi gani mpaka sasa?
Nyumba ya jirani yako ikiwaka moto wewe kwako unachukua tahadhari, siyo kukaa na kutoa kauli as yours.
 
Ugonjwa umeanza kupungua makali china ila kwa mara ya kwanza mashariki ya kati wamepata wagonjwa wawili wa corona.
 
Back
Top Bottom