Tusisahau Simba nayo inacheza Ijumaa na Aly Ahly

Wakati tunazungumzia mechi ya Yanga na Mamelodi siku ya jumamosi tusisahau pia Simba ni timu yetu nayo inacheza robo fainali ya klabu bingwa Afrika siku ya ijumaa.

Tuzipe umuhimu sawa maana zote zinawakilisha nchi yetu.
Viva Simba SC, viva Yanga S.C viva
Atapigwa kama ngoma.
 
Yaani mchezo wa Simba umesahaulika kabisa huku ndio unaotangulia ule wa Yanga.

Ni kweli tuweni wazalendo tuzishangilie timu zetu zote kwa nguvu moja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom