Robo fainali CAFCL Kickoff time

Nani anayepanga siku na Saa na Kwa faida ya Nani?
Kwa hatua hizi za robo fainali na hata group stage hasa zile hatua za mwisho kabisa anaepanga saa ni CAF na faida ya nchi zote zinashiriki ili mechi zionekane muda ambao unaruhusu mashabiki kwenda uwanjani kutokana na tofauti ya saa baina ya nchi na nchi though Kuna Kwa baadhi ya hatua CAF wanapanga siku na saa ila wanampa nafasi mwenyeji kupendekeza muda ambao anadhani unafaa na CAF wanafuata kama upo vizuri
 
Wameshauriana na tff labda wangeweka saa 1 ila kutokana na shughuli nyingi za mfungo basi iende hadi saa 3
 
saa tatu usiku inamaana kurudi home saa sita au saba usiku.

ngoja niunge urafiki mapemaa na mlinzi wa getini.maana nje ya muda huwa hafungui geti mkurya huyu.
 
Back
Top Bottom