lastman
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 402
- 226
Habari zenu wadau.
Kunatoka na wimbi kubwa na mfumuko Wa habari mbali mbali tusisahau kudai vyeti,maana chanzo cha yote yanayo endelea sasa hivi ni baada kudai vyeti..
Nguvu kubwa inayo tumika kukinga hili lipite pamoja na kukingiana vifua,kupoteza Waziri,kuvamia radio,kushindana na mchugaji lakini yote hayo na sisitiza tuache majungu ya mtandao kama mh Rais alivyo sema tuweke nguvu kwenye kufanya kazi na kudai cheti..
Cha kushangaza mh mkubwa ana ongelea hadi wema sepetu,ana ongelea maneno ya fununu lakini neno la cheti la muajiri wake ana likimbia..
Nawasilisha asanteni.