Isakhamisi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2019
- 360
- 414
Huna mpya wewe tuwachie tusafishe nchi iliyokuwa imechafuliwa kwa heshima za woga sasa tuko huru tukiwa na heshima ya ndani ya moyo na nafsi zetu wewe endelea na upumbavu wenu wa kumuabudu mtu ambaye ameshaondoka na kama huriziki na nchi inavyoendeshwa basi jinyonge ili ukaonane na kipenzi chako.Naona kuna propaganda mnaeneza mitandaoni kuwa mlisaidia CCM kupata ushindi 2015 na baada ya uchaguzi mkuu hayati JPM alipokamata madaraka aliwatenga na kuwaona hamfai wakati mlimuweka madarakani.
Acheni kupindisha maneno. Kila mtu anajua mlishazoea masuala ya kihuni ya kupora mali za umma kama mlivyofanya wakati ule kupitia Epa, Escrow, Kagoda na ufisadi mwingi bila aibu.
Mlitaka hayati Magufuli awakubalie uhuni wenu kisa tu mlifanya kampeni basi mfanye ufisadi mnavyotaka?
Sasa hivi kila mtanzania anawafamu vizuri na ndio maana mnapanga safu yenu ili mfanye uhuni wenu vizuri.