Tusipojikumbuka Tutakwisha wote bila kelele | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusipojikumbuka Tutakwisha wote bila kelele

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ThinkPad, Jan 14, 2009.

 1. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Heshima mbele wakuu wana JF world wide.

  Will UN troops bring peace in Africa as in Europe?
  Today we need to rethink about our life our society in our Africa,maana nimewaza sana na nimeumia sana rohoni baada ya kuona matatizo ya kivita yanayoendelea katika bara letu la Afrika na yamepelekea machafuko mengi sana na mauaji yakimbali ukizingatia hatuna uwezo wowote wa kifedha au kuwa na hifadhi ya pesa au mali za kutusaidia pindi tunapokuwa katika magumu hayo tofauti na wenzetu ambao ikitokea hali kama hiyo madhara huwa sio makubwa kama yanayo tukumba sisi.

  Na zaidi ya 3.3 million people have died in the war in the Congo in the last six years, according to a study by the International Rescue Committee. It's the highest death toll of any war since the Second World War. Yet until recently, the U.S. and European media have ignored even we african this slaughter--even though the rulers of these countries have done much to foment the war.

  Mbaya zaidi sisi tunachukulia poa wakati nduguzetu wanakufa na kutaabika hawana chakula wala maji na hakuna waafrika wanaoweza kuwafikiria tunawaachia wazungu wajewatutafutie ufumbuzi wa matatizo yetu yanayo jili hapa nyumbani Afrika as a result ni kalenda na hakuna suluhisho,

  Mfano mzuri ni hii vita ya Waislael kwakuwa wao weupe ndio wanaopigana hivyo kuamuana wao wanapenda na watatekeleza mapema na pia media zote zitatangaza kuwa watu flani wamekufa but here in africa we get something very different hautosikia wakitangaza kwa lengo lakupinga na kusimamisha hayo mauaji yanayoendelea watakuwa watajionyesha kama wanashiriki kutafuta amani wakati sio kweli kama vita zote Afrika zimekomaa ni za miaka mingi sana kama kweli wanania ilitusichapane tungekuwa hatuchapani mpaka sasa ingekuwa amani tupu,ila kwavile haiwagusi ndio maana hawachkulii serious.  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. J

  Jamco_Za JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2009
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  There will be no peace in Africa unless our leaders understand that they are being used by western countries for their benefit, steling our resources, being markets for their products and the like.

  Wakati serikali ya Angola ilipoyakatalia makampuni ya marekani kuchimba mafuta Angola, savimbi alikuwa na nguvu sana na aliinyanyasa sana serikali, lakini what happened wakati serikali iliporuhusu makampuni ya marekani kuja kuchimba mafuta within a year Savimbi was dead.

  Congo will never settle kwa kuwa wana madini na vita ukiangalia vinapiganwa sehemu za madini tu wakati sehemu ambazo hazina madini wametulia kwanini? ili kuwapa nafasi wezi wa madini yetu kuiba vizuri.

  ukitaka kujua vizuri hivi vitu tafuta picha zifuatazo ambazo zinareflect what happening in our countries
  • Marcenaries of war
  • Blood Diomond

  Hizi zinaonyesha kiasi gani viongozi wetu walioko madarakani na wa vyama vya upinzani wanavyofanya kazi kwa ajiri ya matumbo yao na si kwa ajiri ya Africa.

  Hizi nchi ni wajanja sana wanaruhusu viongozi wetu waweke pesa zilizoibiwa serikani kwao bila tatizo lolote wakati wanajua kuwa wananchi wanakufa kwa njaa na kukosa huduma bora. Bilioni moja ya Chenge ingeweza kujenga madarasa mangapi ya sekondari za kata ambayo yangepunguza wananchi lkulala vichakani kujificha wasikamatwe na katibu kata kwa ajiri ya mchango wa sekondari.

  sisi wananchi hata tukiamka nothing will happen kwani mkiwakataza wasiibe watatafuta watu wa kwenda msituni na kuanzisha vita.

  kinachotakiwa ni jinsi gani hizi nchi zitabadili mtizamo wao kwetu then tutaendelea.
   
 3. Recta

  Recta JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2009
  Joined: Dec 8, 2006
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  It disheartens to see all these people suffering with no immediate actions taken by AU and other regional organizations to stop this inhumanity to innocent people. Instead they are left to be tackled by UN and other organizations outside our region. Cases of rape and other atrocities are reported done by the same troops that we expected to put the situation to rest. We should be more pro-active and help these innocent people to enjoy their freedom as human beings.

  Badala yake tunakaa na kusikiliza taarifa za Habari zikielezea bila kuchoka jinsi binadamu wanavyo malizana kila siku. It has to stop now.
   
 4. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hakika watu wengi wanajuta siamini kama Mungu kapenda somalia kusiwe na amani au congo,na kama tunaweza kuharibu amani vivyo tunaweza kuirudisha amani
   
Loading...