Tusiotumia pombe njoni tupeane pole

Pombe si nzuri,kiufupi sinywi ila kuna day nilikua na jamaazangu wakanizonga zonga nikanywa alcoholic wine,wakidai sitalewa cos ina alcohol kidogo,nilikunywa glass 1 tu tayali wenge, walikuja kuniambia mm ni mtu mzur xana nikiwa nimelewa cos nakua social xanaa,namuda wote nilikua kichekesho kwao,inshort waliongeza siku za kuishi.
Bt kwangu mm niliamka nikiwa nahali mbaya njaa inauma & kichwa kizito,inshort ni state ambayo sita taka ije kunikuta tena,sitakunywa kilevi tenaaa.
 
wewe chako kipi hapo
 
dah haya mambo magumu Sana

nakunywa japo sitaki kuharibu maisha yangu na familia...nawahurumia wasio kinywa lkn wanatamani..

wasiokunywa Na wana hate safi kwaoo


kwangu unywaji usio madhara n exposure I mean it...


siewez sema usinywe coz unaweza ukajaribu then ukaacha au ukapata kwa kiasi

ni upuuzi kukosa exposure ufahamu kumingo
 
Siku nikinywa pombe ndio mwisho wangu wa kuishi eee Mungu endelea kunilinda si kwamba niemekwisha kufika bali .........Glory to God
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…