Tusiotumia pombe njoni tupeane pole

....msio kunywa pombe wengi wenu ni wanafki,wapenda majungu,viherehere na waoga wa maisha pia.
....sio wote though-we take many then we generalize to draw the conclusion.
 
.....halafu wanapenda sana masengenyo hao wanaojifanya hawanywi pombe-...ni hovyo kabisa.
 
Sinywi pombe, sivuti sigara na najivunia kwa hilo!
Sihitaji dutch courage!!
 
.....halafu wanapenda sana masengenyo hao wanaojifanya hawanywi pombe-...ni hovyo kabisa.
Acha hizo wewe!! Bila shaka kimuonekano wewe watu watakuwa wanasema una miaka X plus 20 sababu ya ulevi!
 
Itakuta mwanaume mzima anaingia bar eti anaagiza soda au maji!!!watu ambao hawanywi stress huwa zinawatafuna sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo mnakunywa kama chaka lankukimbilia, kauli yako ni uongo!!
Kutokunywa kumenifanya niwe super fit, na kutokana na huo ufit nina muonekano wa 10/ 13 years younger!
 
Ni upumbavu tu na upotofu kuhisi kuwa kuwa mlevi ndio ukubwa. Wapo wanaoweza kujidhibiti lakini 99% pombe ni UTUMWA na zina madhara mengi hasi kuliko faida yake japo ndio kitu kinachopendwa zaidi baada ya ngono. Umasikini, ajali, stress, madeni yasiyolipika, magonjwa, majuto makuu ni baadhi ya watoto wa pombe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakuta mwanaume mzima anaingia bar eti anaagiza soda au maji!!!watu ambao hawanywi stress huwa zinawatafuna sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
....huwa wanakuja kuchunguza watu wanavyokunywa na kutumia hela-halafu jioni wanaenda kuwahadithia wake zao eti...si unamjua fulan huwa anatumia hela hovyo...stupid them
 
Kwanza huwa nawashangaa walevi huwa wanapata raha gani wakati mijipnmbe yenyewe michungu haswa.
Hata ile inasababisha kuchoka, kibaya kwako kwa wengine vizuri, Kuna watu wanakula ugali na maziwa mgando wakati Sisi mkoa wetu ukafanya hivyo utasababisha watu wapate kichefuchefu, hivyo kila kitu kinategemea saikolojia ya kichwa chako hata Chura watu wanakula
 
Hata mtuseme vipi pombe hatuachi ng'ooo, ukipata totozi ambayo nayo inakunywa pombe yaani mnafyatuana mpaka raha maana hakuna anayemuonea aibu mwenzake
haha ha ha hivi sasa siku mkikutana bila pombe mnadoana'tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…