Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,524
Nini kifanyike!? Tupe ushauriBandugu huko ulaya, awajafika walipo kwa kubahatisha.
Hizo nchi senior civil servants ni vipanga kweli kweli.
Yaani kufikia uwezo wa kufikiria inabidi usome kweli kweli, hao watu asilimia kubwa ni very very clever.
Africans we need to take knowledge serious.
Hawa jamaa wanazoongoza hizo (senior civil servants) wamesoma, you only have to try reading; halafu ukutane na mtaalamu wa serikali akiongelea hilo jambo ndio ujione bado.
Huwezi kubabaisha mbele ya wazungu, watakuchora tu; hizo nchi aziendeshwi na wababaishaji na hizo jamii utoboi academically if you don’t match up.
Kwanini naandika hivi, it’s sad kudhani vitu ni rahisi vile duniani; kama watanzania tunavyodhani.
Things don’t work like that huko kwa wenzetu, you can just fake your way in Tanzania and mobilise support.
Sad
Wanahitajika watu makini mamlaka ya teuzi kufanya appropriate succession planning na kuwa consistent.Nini kifanyike!? Tupe ushauri
Habari MaelekezoHalafu unamsikiliza katibu mkuu wa wizara ambae anatakiwa kuwa technocrat au mkurugenzi wa taasisi/idara ya serikali unajiuliza hivi huyu taahira kafikaje hapo.
Waziri wa fedha na raisi wa nchi hawajui taratibu za tax investigation processs kwa sheria yao.Mfano hai ni Mtaalam wa Trab n Trat na wenzie kwenye genge la mbuzi hata swali jepesi linalohusu taaluma yake majibu ni USANII mtupu.
Ndio wale wale, Msigwa sio communication expert.Habari Maelekezo
G Msigwa
Umesema vizuri sana, wajawazito wanarudishwa shuleNdio wale wale, Msigwa sio communication expert.
Tunarudi square one, civil services experts sio watu wa mzaha.
Msigwa yupo tu kujaza nafasi, but by no means he is trained in public communication.
Hawa wenzetu hawabahatishi; ukisikia mtaalamu jua sio mtu wa mzaha kabisa.
Habari Maelekezo
G Msigwa
Serious matters, need serious challenges.Umesema vizuri sana, wajawazito wanarudishwa shule
Umesema vizuri mkuu, kwa hio nini kifanyike kwa sasa maana pale juu unajua aliekaa yeye pia elimu yakee ndio lakini sio ya kivile maana alishasema form 4 alikula 4, sasa nini kifanyike hapo?
View: https://m.youtube.com/watch?v=WEzvesJUAuc&pp=0gcJCR4Bo7VqN5tD
Huyo ndio alikuwa chief ‘communication officer’ wa Tony Blair.
Unadhani hao watu wa mzaha-mzaha; ndio wakumfananisha na kiazi kama Msigwa ambae jibu technical questions.
Ndio msingi wa mada, hizo nchi za wenzetu aziendeshwi na watu wa hovyo.
Well said, so what should we do for that matter as a nation, tuwafukuze wenye elimu mlegezo tuweke wenye elimu zilizoshiba? Msemaji wa Gavament km msemaji wa Club cha pombeSerious matters, need serious challenges.
I like to be challenged on my view point.
Suluhisho ni kuelewa kitabu cha ‘Plato’s Republic’ and the ship allegory.Umesema vizuri mkuu, kwa hio nini kifanyike kwa sasa maana pale juu unajua aliekaa yeye pia elimu yakee ndio lakini sio ya kivile maana alishasema form 4 alikula 4, sasa nini kifanyike hapo?
Kusema kweli inasikitisha sana, ukiwa nje kwa wenzetu, ndio utajua kama kweli sisi huku, hasahasa Tanzania, tunaishi ili tupige hatua ? Au tunaishi ili tule na kulala na kuzaa tu na kwenda chooniBandugu huko Ulaya, hawajafika walipo kwa kubahatisha.
Hizo nchi senior civil servants ni vipanga kweli kweli.
Yaani kufikia uwezo wa kufikiria inabidi usome kweli kweli, hao watu asilimia kubwa ni very very clever.
Africans we need to take knowledge serious.
Hawa jamaa wanazoongoza hizo (senior civil servants) wamesoma, you only have to try reading; halafu ukutane na mtaalamu wa serikali akiongelea hilo jambo ndio ujione bado.
Huwezi kubabaisha mbele ya wazungu, watakuchora tu; hizo nchi aziendeshwi na wababaishaji na hizo jamii hutoboi academically if you don’t match up.
Kwanini naandika hivi, it’s sad kudhani vitu ni rahisi vile duniani; kama watanzania tunavyodhani.
Things don’t work like that huko kwa wenzetu, you can just fake your way in Tanzania and mobilise support.
Sad
Tunarudi pale-pale mamlaka ya teuzi ni shida.Wasomi wapo shida ni siasa za tz machawa ndo wanaaminiwa kuendesha taasisi zinazohitaji watalamu...vchekesho anachukuliwa mwana uvccm kisa ni chawa anapewa cheo unategemea nn
Kwanini iwe hivyo kwetu, something has to change.Kusema kweli inasikitisha sana, ukiwa nje kwa wenzetu, ndio utajua kama kweli sisi huku, hasahasa Tanzania, tunaishi ili tupige hatua ? Au tunaishi ili tule na kulala na kuzaa tu na kwenda chooni
Umezungumza Wataalamu wapo!,nadhani hapo ndio tatizo lililopo kwa jibu lako hapo!!Wanahitajika watu makini mamlaka ya teuzi kufanya appropriate succession planning na kuwa consistent.
Hiyo kazi inafanyika tayari, kuna wataalamu Tanzania waliotengenezwa na serikali ukiwasikiliza unapata somo.
Unabaki unajiuliza sasa huyu mbona sio sehemu ya strategic planning na hana nafasi ya maana kwenye civil services.
Halafu unamsikiliza katibu mkuu wa wizara ambae anatakiwa kuwa technocrat au mkurugenzi wa taasisi/idara ya serikali unajiuliza hivi huyu taahira kafikaje hapo.
Something is amiss kwenye mamlaka ya uteuzi.
Kwa wenzetu kufikia nafasi ya senior civil servant sio mzaha, na ukifikia hapo jamaa katika speciality yake kuongea nae ujipange ata kama wewe ni PhD on the subject.
Hizo nchi aziongozwi na watu wa mzaha-mzaha (in their administration).