Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,479
soma uzi uko jukwaa lipi mkuu?Eeeeeeh!!!
Kijana,umefikia huku? Mbona hatuna nyumba na hatujiweki wazi hivi. . .
wana mbeya wame kusikia kaka, sisi huku nanjilinji kiwanja ni bure.Mbeya kuna kiwanja mpaka cha laki na nusu ,kikubwa usijioneshe una maisha mazuri .
Naelewa, nyumba ya mwenye nyumba (kupanga)ndio yako... Umesahau?soma uzi uko jukwaa lipi mkuu?
Wewe kama raisi inabidi ujitahidi kuwa na nyumba mbeya maana tunaokukubali tuko wengi mnowana mbeya wame kusikia kaka, sisi huku nanjilinji kiwanja ni bure.
tatizo Kuna nyani wengi kudadadeki
Jichanganye kusema mbele ya fadhili kibete kuwa nyumba yake ni yako, lazima aku pasue ngumi 😂 😂Naelewa, nyumba ya mwenye nyumba (kupanga)ndio yako... Umesahau?
tuseme inshallah, ila siifagilii kuwa na mijengo mingi sehemu nyingi.Wewe kama raisi inabidi ujitahidi kuwa na nyumba mbeya maana tunaokukubali tuko wengi mno
Nipe hongera kwa kumiliki nyumba ya mwenye nyumba hapa tandale.Jichanganye kusema mbele ya fadhili kibete kuwa nyumba yake ni yako, lazima aku pasue ngumi 😂 😂
Vyote sio vibaya, ikiwa una portfolio imara.Possession versus Ownership
Sijawahi ondoka nanjilinji, hivi hiyo tandale iko wapi?Nipe hongera kwa kumiliki nyumba ya mwenye nyumba hapa tandale.
Ila nikimaliza kuitumia(Kodi ikiisha) nitamrudishia
ChililabombweSijawahi ondoka nanjilinji, hivi hiyo tandale iko wapi?