Tusio na mama tukutane hapa

Tusio na mama tukutane hapa

Pole sana mkuu. Tupo wengi tusio na mama. Ila nawashauri wale wenye Mama wasiishie tu kuwaposti mitandaoni, Bali wawajali kwa kuwatimizia haja zao kadri ya uwezo wao.
Safi nimependa Maneno yako, yanauzito sana
 
Apumzike kwa amani mama yangu huko alipo, poleni na wote mliopoteza either baba au mama au wazazi wote wawili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom