Tusio na Magari tukutane hapa

Tusio na Magari tukutane hapa

Je una gari au hauna??


  • Total voters
    132
Nimesoma mpaka page namba 4 tu nimecheka sana 😂

Prezoo fanya uandae uzi uwe na jina maalumu (MAJOBLESS PRO MAX) halafu tutag huko uwe uzi wetu wakujidai, mtu wa nje ya chama akizingua tunamleta kwenye uzi wetu halafu tunamalizana nae kimya kimya 😂
Uzi upo, ngoja niku tag 😂🦅
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom