Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,579
- 55,632
Sitokunyima mpendwa... Utakuwa unakaa mbele unakunja kishokaUkitangulia kununua usininyime lift mie

Sitokunyima mpendwa... Utakuwa unakaa mbele unakunja kishokaUkitangulia kununua usininyime lift mie

Ahahahh unanitafuta maneno ebu hukoYaani
![]()
![]()
![]()
Shunie mguno huo vepeeeee

Ebu acha kunidharau ujue nabeba ndoo ya litre 20Saaana
Hivi unaweza kubeba kitoto ndoo kweeli
EwaaaaaSitokunyima mpendwa... Utakuwa unakaa mbele unakunja kishoka![]()
![]()
Ile mark x yako nyeusi vipiii jaman ulipeleka wapii au ulipewa bila card mwenyewe kaja kuichukuaShunie mguno huo vepeeeee![]()
HahaAhahahh unanitafuta maneno ebu huko
SitakiiiiHaha
Nini lakiniiii
MmmhEbu acha kunidharau ujue nabeba ndoo ya litre 20
Endelea kuguna tu na huo mguno wako wa uchocheziMmmh
Ila wewe... MmhSitakiiii
HahaEndelea kuguna tu na huo mguno wako wa uchochezi
hii yote gharama ya nini?Njia rais apo nadhani chukua bajaji pasua njia y coca cola kule utatokezeamo huko escape 1, ila andaa 3000 kwenda, 10000 kuingia na yakutumia 50,000 itapendeza zaid
Mi naitwa Jakitoo, Nashukuru kukufahamu mpendwaEwaaaaa
Mie naitwa sakayo... Sijui mwenzangu nani
Ile mark x yako nyeusi vipiii jaman ulipeleka wapii au ulipewa bila card mwenyewe kaja kuichukua
Ilikuwa corola nyeupe alaf hata sikuiendesha nliiweka nyumbani kama pambo
Mimi tena nimefanyajeIla wewe... Mmh
HayaHaha
Ngastukaaa
Usisahau kunipa lift ujuenakichanga nachanga na mimi one day nimiliki ndinga yangu![]()