Tusimwadhibu Diamond Platnumz

Yani upinzani wa nchi yetu wa ajabu sana. Ukiachana na diamond msanii gani mwingine alisimama na wananchi kny matukio yoyote yale. Kweli upinzani ungechukua nchi tusingekua na amani saiv. Watu visasi kila mahali chaaaaaaa
 
Tusipangiane. Kila mtu ashinde mechi zake. Kama ambavyo aliunga mkono ukandamizaji na uonevu wa waliompinga Magufuli., Waliompinga Magufuli na associates wake wana haki hiyo hiyo ya kumpinga Diamond. Cha msingi kila mtu ashinde mechi zake. Lakini kusema tumsapoti kisa ni Mtanzania nasema Big No!
 
Yani upinzani wa nchi yetu wa ajabu sana. Ukiachana na diamond msanii gani mwingine alisimama na wananchi kny matukio yoyote yale. Kweli upinzani ungechukua nchi tusingekua na amani saiv. Watu visasi kila mahali chaaaaaaa
Magufuli mbona alikuwa na visasi hadi anaua watu?
 
Issue sio uccm ila dayamondi ni mbinafsi sana ,yeye hajawai msupport msanii yeyote nje ya kundi lake....kwa kifupi ajirekebishe.
Mengine hayo ya awe sisiemu asimame na wananchi sijui wapinge uonevu mimi hayanihusu Mungu ndio atakayeamua kwa hilo ila hapa ni wazi umepotosha umma nadhani hisia za chuki ni kubwa kuliko uhalisia ulivyo labda nikukumbushe tukianza na suala la kusupport wenzie kwenye utoaji wa album tumeshuhudia Diamond akipost instagram soon after the launching ya album ya Jux Diamond alipost kuomba watu wamsupport Jux pia aliwahi kupost album ya Harmonize AfroEast kwenye IG yake hiyo ni mifano michache tu ulitaka awasupport kwa namna ipi pia mara nyingi sana Diamond amewapigia debe wasanii wenzako pale wanapochaguliwa kama nominees ktk tuzo mbalimbali mfano Nandy,Mario n.k, na pia inajulikana wazi na wasanii wenyewe wanasema Diamond ndio daraja la wao kufanya collabo west Africa hilo lilithibitishwa na Shetta,Ay,Navy kenzo kikubwa kinachoonekana Diamond yupo karibu sana na wasanii ambao wanaojielewa wale wanafki wanafki amewapiga pending ndio maana wanaona kama hawapi support unampaje support mtu ambaye anakuchimbia kaburi? Hebu fikiria hata wewe mpenzi mtazamaji
 
Sawa ina maana basi upinzani ungeshika nchi wangezidi visasi vya the late.
Vingekuwa sawa na Magufuli ambaye ni kielelezo cha mwanaccn mnafiki mwenye visasi. Usimtoe Magufuli kwenye equation ya walipa kisasi. Yeye ndiye mpenda visasi kuliko shetani
 
Je hawa wanaofanya saiv sio visasi? Je wangekua madarakani ingekuaje
 
Na Thadei Ole Mushi.

Diamond 💎 Platnumz ni Moja ya wasanii wanaowania Tuzo toka BET Awards kwenye kipengele Cha International ACT.

Kwenye category yake yupo na wasanii wengine wakubwa tu toka maeneo mbalimbali Duniani.

Wasanii wanaoshindania Tuzo hiyo na Diamond ni Aya Nakamura toka France, Burma Boy toka Nigeria, Emicida toka Brazil, Headie one Toka UK, Wizkid toka Nigeria, Young T toka UK na Youssoupha toka France.

Fuata link kuona washindani wa Diamond.

Kwa jinsi walivyo na maeneo wanayotokea Diamond Platnumz ndiye Pekee anayetokea ukanda wa Africa Mashariki na Kati pamoja na Kusini mwa Africa. Kwa jinsi ilivyokaa Diamond angeliweza kushinda kama angelipata uungwaji mkono toka eneo analotokea.

Kilichotokea

Kwa sasa Kuna watanzania wanaoshinikiza BET kumwondoa Diamond kwenye kinyanganyiro Hicho kisa alishiriki kwenye Kampeni za 2021. Watanzania hawa wameanzisha Petition na wanasaini huko ili BET wamuondoe Diamond kwenye Award hizo. Link ifuatayo ni petition ya Watanzania kushinikiza Hilo.

Tunavyoongea watu 25,000 wameshasaini.

Huko nyuma Diamond aliwahi kuhojiwa kwa nn ameamua kuisapoti CCM akasema kuwa alifanya hivyo kwa kuwa yeye ni mwana CCM na hawezi kuacha kuiombea Kura.

Je kikatiba haukuwa haki Diamond kuwa na Itikadi ya Chama? Jibu ni Kuwa ana haki kabisa hivyo Hoja hii haina mashiko kabisa.

Hoja ya kwamba alishirikiana na Magufuli kama tukianza kuadhibu watu wote walioshirikiana na Magufuli Nani atakayebaki? Hata wapinzani wengine waliokuwa Serikalini kwa maana ya nafasi za kiutumishi kipindi Cha Awamu ya Tano walificha Kadi zao kabisa.

Hivi mlitaka Diamond ampinge JPM katika mazingira yaliyokuwepo angeponea wapi? Waliojaribu kufanya hivyo nini kiliwatokea?

Tusizime jitihada hizi za Naseeb.

Diamond katokea mbali Sana hadi kufikia hapo alipo. Ni mpambanaji haswa na amefanikiwa kuwabeba wenzake wengi tu. Naamini kama Kuna kijana wa kumsaidia afanikiwe basi ni Diamond kwa kuwa kila anapofanikiwa hushika wenzake mikono na kuwainua.

Nyuma yake wapo watu wengi Sana wananufaika na mafanikio yake. Tunaweza kuona kama tunamwadhibu yeye lakini wengi watakuwa wanaumia. Naamini kwa alipofikia hatakosa Pesa ya kula lakini Taifa linahitaji Sana mafanikio yake ili kwanza kulitangaza Taifa letu na kufungua Fursa nyingine za kiuchumi lakini Cha pili kutusaudia kuendelea kuajiri vijana wengine wanaomzunguka.

Hebu watanzania tufikirie tofauti. Tumsaidie afikie MALENGO makubwa zaidi.

Lakini Pia watanzania tusipende kushikiwa akili na watu eti Diamond nyimbo yake ya acha nikae kimya ulilenga kuwanyamazisha watu. Labda tuusikilize Tena na wabobezi wa fasihi wataelewa alichomaanisha Mondi.

Wenye petition hii waiondoe tusonge Mbele. Tusahau ya Nyuma tulijenge Taifa Letu.

Naomba kuwa Tofauti.

Ole Mushi
0712702602.

Uhuru watumie wao tu, akitumia 💎 kakosea
 
Tanzania ni moja kati ya nchi kumi zenye umaskini wa kutupwa duniani ,

View attachment 1811728
watu wake wana matatizo makubwa , wenye chuki husda na wivu ndo mana ipo kwenye hyo rank . Mpaka alipofikia Diamond kapambana almost alone through out the entire music career battle ....na moja ya watu waliotaka kumkwamisha kabisa from the beggining ni wabongo wenyewe ...anakili wazi ilibid apitie Nigeria ili kuburst mpak kufikia hapo alipo.

watangazaji wa channel O walimwambia wazi I think ilikuwa 2013 or 2014 , kuwa kuna criticism kubwa Sana kutoka Tanzania Ngoma zako zisichezwe , na hyo ilifika mpak kwenye management, thanks to Mr Davido Kwa kumtoa alipokuwa.

Japo anajulikana Sana hapa bongo anakili wazi pia fans wake wakubwa wanaompatia mpunga mnene kwenye digital platform sio wabongo , Kwa East Africa ni Kenya na nchi zingine kule ambako wanamuelewa.

Christian Bella akihojiwa aliiweka was kuwa Diamond anajulikana Sana nje na kajitangaza Sana , na akaongeza pengine ni zaidi ya kipaji cha music huenda na ni nyota yake.

Mwana FA juzi kasema ukimuona msanii anapasua anga Kwa Tanzania tambua amepambana mwenyewe , no support at all..

Kwa jina lake watu wengi Sana wamefaidika na wanaendelea kunufaika direct and indirect. Kijana kazoea kupigana na hata hili atalipita ,petition hyo haina nguvu yyte kumuondoa kijana mpambanaji tokea tandale , petition ipo kisiasa zaidi na hata hzo hoja zao hazipo verified in international level, zaidi ya yote inamtangaza kimataifa.

Mpak alipofikia hakuna mtanzania wa kujisifu kuwa kamsaidia , jamaa kapambana mwenyewe na kuwa mtanzania ni jina Tu Ila hakutakiwa kuwa mtz Kwa jinsi tulivyo na roho mbaya.😋

Vote for Diamond Platnumz.
Bongo chuki tu, waliokua wanamchukia ni wengi sasa kigogo na wenzio walivoanzisha na wanaJF wakaliunga humo, wakawa wamepata sababu. 98% ya wasanii wakubwa bongo walipigia kampeni ccm, hapo ndo unajua ni chuki tu za wabongo hao wote hawaguswi ila yeye tu.
 
Na Thadei Ole Mushi.

Diamond 💎 Platnumz ni Moja ya wasanii wanaowania Tuzo toka BET Awards kwenye kipengele Cha International ACT.

Kwenye category yake yupo na wasanii wengine wakubwa tu toka maeneo mbalimbali Duniani.

Wasanii wanaoshindania Tuzo hiyo na Diamond ni Aya Nakamura toka France, Burma Boy toka Nigeria, Emicida toka Brazil, Headie one Toka UK, Wizkid toka Nigeria, Young T toka UK na Youssoupha toka France.

Fuata link kuona washindani wa Diamond.

Kwa jinsi walivyo na maeneo wanayotokea Diamond Platnumz ndiye Pekee anayetokea ukanda wa Africa Mashariki na Kati pamoja na Kusini mwa Africa. Kwa jinsi ilivyokaa Diamond angeliweza kushinda kama angelipata uungwaji mkono toka eneo analotokea.

Kilichotokea

Kwa sasa Kuna watanzania wanaoshinikiza BET kumwondoa Diamond kwenye kinyanganyiro Hicho kisa alishiriki kwenye Kampeni za 2021. Watanzania hawa wameanzisha Petition na wanasaini huko ili BET wamuondoe Diamond kwenye Award hizo. Link ifuatayo ni petition ya Watanzania kushinikiza Hilo.

Tunavyoongea watu 25,000 wameshasaini.

Huko nyuma Diamond aliwahi kuhojiwa kwa nn ameamua kuisapoti CCM akasema kuwa alifanya hivyo kwa kuwa yeye ni mwana CCM na hawezi kuacha kuiombea Kura.

Je kikatiba haukuwa haki Diamond kuwa na Itikadi ya Chama? Jibu ni Kuwa ana haki kabisa hivyo Hoja hii haina mashiko kabisa.

Hoja ya kwamba alishirikiana na Magufuli kama tukianza kuadhibu watu wote walioshirikiana na Magufuli Nani atakayebaki? Hata wapinzani wengine waliokuwa Serikalini kwa maana ya nafasi za kiutumishi kipindi Cha Awamu ya Tano walificha Kadi zao kabisa.

Hivi mlitaka Diamond ampinge JPM katika mazingira yaliyokuwepo angeponea wapi? Waliojaribu kufanya hivyo nini kiliwatokea?

Tusizime jitihada hizi za Naseeb.

Diamond katokea mbali Sana hadi kufikia hapo alipo. Ni mpambanaji haswa na amefanikiwa kuwabeba wenzake wengi tu. Naamini kama Kuna kijana wa kumsaidia afanikiwe basi ni Diamond kwa kuwa kila anapofanikiwa hushika wenzake mikono na kuwainua.

Nyuma yake wapo watu wengi Sana wananufaika na mafanikio yake. Tunaweza kuona kama tunamwadhibu yeye lakini wengi watakuwa wanaumia. Naamini kwa alipofikia hatakosa Pesa ya kula lakini Taifa linahitaji Sana mafanikio yake ili kwanza kulitangaza Taifa letu na kufungua Fursa nyingine za kiuchumi lakini Cha pili kutusaudia kuendelea kuajiri vijana wengine wanaomzunguka.

Hebu watanzania tufikirie tofauti. Tumsaidie afikie MALENGO makubwa zaidi.

Lakini Pia watanzania tusipende kushikiwa akili na watu eti Diamond nyimbo yake ya acha nikae kimya ulilenga kuwanyamazisha watu. Labda tuusikilize Tena na wabobezi wa fasihi wataelewa alichomaanisha Mondi.

Wenye petition hii waiondoe tusonge Mbele. Tusahau ya Nyuma tulijenge Taifa Letu.

Naomba kuwa Tofauti.

Ole Mushi
0712702602.

Thadei nawe acha kihelehele. Huyu ali side na wauaji, leo wenye akili hawawezi kumuunga mkono. It is that much simple! Unaside na Idd Amin, halafu kesho uwe nasi tulioteswa na Idd Amin? Thadei youa er so stupid nilikuwa sijagundua. Unajitiage kihelehele cha kuandika sana kumbe hovyo, can not reason well!
Huyu aliunga mkono UUAJI, leo asiadhibiwe?
 
Na Thadei Ole Mushi.

Diamond Platnumz ni Moja ya wasanii wanaowania Tuzo toka BET Awards kwenye kipengele Cha International ACT.

Kwenye category yake yupo na wasanii wengine wakubwa tu toka maeneo mbalimbali Duniani.

Wasanii wanaoshindania Tuzo hiyo na Diamond ni Aya Nakamura toka France, Burma Boy toka Nigeria, Emicida toka Brazil, Headie one Toka UK, Wizkid toka Nigeria, Young T toka UK na Youssoupha toka France.

Fuata link kuona washindani wa Diamond.

Kwa jinsi walivyo na maeneo wanayotokea Diamond Platnumz ndiye Pekee anayetokea ukanda wa Africa Mashariki na Kati pamoja na Kusini mwa Africa. Kwa jinsi ilivyokaa Diamond angeliweza kushinda kama angelipata uungwaji mkono toka eneo analotokea.

Kilichotokea

Kwa sasa Kuna watanzania wanaoshinikiza BET kumwondoa Diamond kwenye kinyanganyiro Hicho kisa alishiriki kwenye Kampeni za 2021. Watanzania hawa wameanzisha Petition na wanasaini huko ili BET wamuondoe Diamond kwenye Award hizo. Link ifuatayo ni petition ya Watanzania kushinikiza Hilo.

Tunavyoongea watu 25,000 wameshasaini.

Huko nyuma Diamond aliwahi kuhojiwa kwa nn ameamua kuisapoti CCM akasema kuwa alifanya hivyo kwa kuwa yeye ni mwana CCM na hawezi kuacha kuiombea Kura.

Je kikatiba haukuwa haki Diamond kuwa na Itikadi ya Chama? Jibu ni Kuwa ana haki kabisa hivyo Hoja hii haina mashiko kabisa.

Hoja ya kwamba alishirikiana na Magufuli kama tukianza kuadhibu watu wote walioshirikiana na Magufuli Nani atakayebaki? Hata wapinzani wengine waliokuwa Serikalini kwa maana ya nafasi za kiutumishi kipindi Cha Awamu ya Tano walificha Kadi zao kabisa.

Hivi mlitaka Diamond ampinge JPM katika mazingira yaliyokuwepo angeponea wapi? Waliojaribu kufanya hivyo nini kiliwatokea?

Tusizime jitihada hizi za Naseeb.

Diamond katokea mbali Sana hadi kufikia hapo alipo. Ni mpambanaji haswa na amefanikiwa kuwabeba wenzake wengi tu. Naamini kama Kuna kijana wa kumsaidia afanikiwe basi ni Diamond kwa kuwa kila anapofanikiwa hushika wenzake mikono na kuwainua.

Nyuma yake wapo watu wengi Sana wananufaika na mafanikio yake. Tunaweza kuona kama tunamwadhibu yeye lakini wengi watakuwa wanaumia. Naamini kwa alipofikia hatakosa Pesa ya kula lakini Taifa linahitaji Sana mafanikio yake ili kwanza kulitangaza Taifa letu na kufungua Fursa nyingine za kiuchumi lakini Cha pili kutusaudia kuendelea kuajiri vijana wengine wanaomzunguka.

Hebu watanzania tufikirie tofauti. Tumsaidie afikie MALENGO makubwa zaidi.

Lakini Pia watanzania tusipende kushikiwa akili na watu eti Diamond nyimbo yake ya acha nikae kimya ulilenga kuwanyamazisha watu. Labda tuusikilize Tena na wabobezi wa fasihi wataelewa alichomaanisha Mondi.

Wenye petition hii waiondoe tusonge Mbele. Tusahau ya Nyuma tulijenge Taifa Letu.

Naomba kuwa Tofauti.

Ole Mushi
0712702602.
Hopelessly, I can smell 30 pcs of silver herein!
I respected Tadei by his periodic publications based on rights suppressor but for this you are a stinking puta madre!
 
Nani anamwadhibu? Mbona hii ishu mnaikuza sana, ... mnapiga kelele huku mtandaoni.. nina uhakika watakao vote huko BET ni wachache sana... wala Hata msijipe pressure
Sasa kwanini chadema wanahangaika nae sana?
 
Hapa hufanyi Utetezi, bali uko kiupotoshaji zaidi. Hakuna mwenye tatizo na Diamond kuwa mwanaccm, maana hiyo ccm yenyewe hatuionei wivu wala kuitamani. Bali Diamond kama kioo cha jamii alisimama na kiongozi muovu, sasa anapewa Somo kuwa unapokuwa kioo cha jamii unapaswa kujitenga na kiongozi muovu.

Nadhani uliona baada ya Makonda kwenda kule Egypt kwenye kombe la mataifa ya Afrika, jinsi wapenda haki tulivyokuwa na furaha kwa timu yetu ya taifa kufungwa. Hata leo hao Yanga na Simba wajitokeze wazi wazi kujiunga na kiongozi muovu utauona mziki wake. Tunaomba watu wengi zaidi wajitokeze kusaini hiyo petition, ili kutoa somo kwa wasanii wengine wote kutojiunga na kiongozi yoyote dhalimu.
Kiongozi muovu kwa mujibu wa nani?

Chadema ni wajimga sana aisee!

Yani unataka kila mtu afuate uanchokiamini wewe?

Yani viongozi wote kasoro Mbowe tu wamefanya mondi ndio agenda yao kuu! Alafu mnataka 2025 mshinde uchaguzi?
 
Tena inatakiwa ifanyike kampeni asipewe nafasi kushiriki kwenye mashindano yoyote ya kimataifa, bali ashiriki mashindano kwenye nchi zenye siasa chafu kama za jiwe, na matamasha ya ccm. Ukiwa upande wa kiongozi muovu, jiandae kukosa support ya wapenda haki.
Mnajihangaisha bure tu!
.
Hadi watu nliofikiri wana akili kumbe nao maboga kabisa!

Diamond mtamuacha akichanja mbuga kwenye muziki huku nyie mkibaki wapinzani daima
 
Vingekuwa sawa na Magufuli ambaye ni kielelezo cha mwanaccn mnafiki mwenye visasi. Usimtoe Magufuli kwenye equation ya walipa kisasi. Yeye ndiye mpenda visasi kuliko shetani
Kwa hiyo na nyie mnamuiga kulipa kisasi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom