Tusimulie love story yako kwa kifupi tujifunze

Tulimaliza wote 4m four,tukakutana fb tukapeana no,tukawa tunachati Mara moja moja,akanieleza hisia zake by that time nlikua single nkaona nimkubali anicompany,mapenzi yakawa yakuchati tu for two month,nikasafiri one day tukamit.akaniomba mzigo nkagoma,nlivyotoka hapo akawa hanibembelezi tena anachati km anachat n Dada ake, alafu m ndo nikawa naanza kumtafuta daily nkimtafuta story hazinogi nakuwa km na mlazmisha,n mm hisia zkakata nkamwambia tuachane akakubali .nlichukulia pow but nliumia maumivu yalivyozidi after a weak turudiane akagoma.basi maisha yakasonga hadi sasa ni 4 month hatunamawasiliano yeyote
Pole Sana mrembo. Njoo nikufariji
 
Siku za nyuma, kuna Binti (Pisi kali) pale mtaani kwetu alisifika sana kwa kukataa wanaume. Basi nilivyoambiwa tu nikapata shauku ya kumfuatilia. Niligundua anaimba kwaya Kanisani pia ameokoka. Basi na mimi nikaanza kuwa mtu wa Church. Kila jumapili alikuwa ananiona Church, nikawa nimezoeana nae mwisho wa siku nikaomba mzigo. Alikataa na akasema yeye hapendi hayo mambo pia ni yeye bado Bikra.

Baada ya kunijuza kuwa yeye bado Bikra nikaongeza sana juhudi za kumsumbua, kuna siku alielewa somo akaniambia atakuja Gheto mchana. Nilimsubiri hadi saa Kumi ndio akaja. Sasa sikuile aliyokuja ilikuwa ni Jumamosi na kulikuwa na Mechi ya ligi na mimi nilikuwa mchezaji tegemezi kwenye timu ya pale mtaani. Muda ambao Dem amekuja ndio muda huohuo kuna kiongozi wa Timu akanipitia ili tuwahi mechi. Ikabidi nimuache Dem ili niende Mpirani. Dem alionyesha kuchukizwa yani kumbe mimi napenda sana mpira kuliko yeye.

Siku iliyofuata nilienda Church kwa lengo nionane nae ili nije nimuombe samahani. ili mchakato uendelee. Sasa kule Kanisani sikuile muda wa Maombezi yule Binti si alidondoka akaanza kupandisha mashetani!. Niliona yale mapepo yanasema hatutoki, tupo saba kuanzia Kichwani, Tumboni hadi sehemu za siri hapa tutamsubiri nje. Aliombewa saa nzima yakawa yametoka.

Aisee!, Hamu ya kula papuchi ikaniishia.
Yapo hadi sehem za Siri Tena? That's why ukakimbia, yangekuingia na ww
 
Alikuwa ni mtu wa church, hapo ndio nikajua kumpata itakuwa kazi

Nilikuwa tayari kwa lolote nimpate, miondoko yake na upole vilinifanya nidate.

Siku moja alikuwa anakatiza sokoni, nikamfata kumueleza namna alivyonikaa moyoni.

Akashangaa akauliza kwani kulikoni, unanipenda mimi kwani wengine huwaoni?

Nikamwambia mama usiwe na hofu, nakupenda wewe wengine siwaoni nimekuwa mpofu.

Basi nikamjaza maneno kumpa hope, maana nishachoka daily kutumia soap.

Akanipa namba tukaaza kuchart, kesho kutwa nikamualika club ku party.

Akasema hiyo ni dhambi mi nimeokoka, lakini dingi pia ni mkali nikisepa atafoka.

Nikamuambia we ni nguzo ukiacha nita dondoka, sitaki uwende mbali maisha ya upweke nimechoka.

Lakini haikusaidia maana aliniaga kuwa anaondoka, anaenda mkoa wa mbali kusoma.

Akaniahidi kunipa ushirikiano every day, lakini alivyosepa simu zangu akawa hapokei.

Sometimes akipokea ananikalipia, kuwa nimekuwa kero ameshindwa kunivumilia.

Nimpe muda nipunguze simu kumpigia, atanitafuta kwa muda wake yeye akisikia.

Aliambia mengi ya kuudhi, aliniambia nitafute demu mwingine sinabudi.

Masta nikasema huo ni ushenzi, vipo vya kuhangaikia ila sio mapenzi.

Nikaacha kutuma meseji, hata nikituma nikawa simuiti baby.

Kuviziana ndio ikawa mbinu, kila mmoja anamsikilizia mwenzake apige simu.

Sio siri ilikuwa ni zaidi ya mafarakano, ilipita miezi sita bila mawasiliano.
Aloooh
 
Umepanga kwa vina kabisa.
 
Hamna ni moyo tu na akili vilikuwa vuikishindana
Nyie wanawake sijui mna shida gani kwenye ubongo. Yaani mtu unampenda ila unajifanya humpendi, akiondoka unaanza kuumia tena. Sasa sijui mnataka mwanaume aendelee kuteseka kukubembeleza tu wakati unamwonyesha humtaki?
 
Umewahi kuumia na hujui wapi panauma??
Hayo ndio mapenzi sasa.

Nikifika afterlife nitaomba kuonyeshwa source code zake. Kha!
 
Mapenzi ni kitu kizuri kama ukiwa na mwanamke mwelewa otherwise ni matatizo tupu.
 
Hatukutafutana, kila mtu kivyake hakuna kujuana.

Japo kupitia whatsap niliziona status, mara nyingine anipige vijembe mpaka basi.

Kuna siku moja alipost nikaona dalili, kuwa tayari kashapata bwana wapili.

Sikutaka kuumiza kichwa, kwani kila siku alikuwa akipost picha.

Status ziliwekwa maneno ya nyodo, eti chini ya mnazi kaokota dodo.

Sikuwa na wivu nilimuacha atambe, alisema ana date na wasomi sio waliokimbia umande.

Mwanzo alianza kumuita class mate, na kuwa wamefaulu na kupata the same grade.

Hajui mi kwake nishafunga gate, hata anitambie vipi haniumizi head.

Akapost eti walokole wakidate, hawapaswi kuitana baby.

Akamtag na jamaa kimafumbo, akampa sifa za mambo lundo.

Siku zikapita, upepo ukabadilika.

Status sa huzuni zikaongezeka, kuonesha kwenye hilo penzi anateseka.

Zile status za kejeli zilikoma, kuonesha hata yeye namba anaisoma.

Mwana hivi hii nyimbo inaitwaje?
 
Scars kwenye vina ni dizasta vina kalapina..
KWA usafiri wa uma siti ya Nyuma tulikaa mimi I'ma na amina..
 
Daah!! Story inaanzia college 2015 she was my classmate,nilipokutana nae nilijiona kabisa uyu ndo mwanamke wa maisha yangu...nikaanzisha mazoea nae Hadi kupelekea kua wapenzi,nikaomba game alikua still kizbo akijawah kufunguliwa na opener hivyo alikua muoga muoga..nikamfundsha mchezo na sheria za mchezo Cha ajabu akawa kocha wa mchezo Yani alinogewa Hadi nikaanza kuhisi Ana mapepo ya ngono au...but all in all alikuja kunipiga na kitu kizito baada ya kukuta text za mchiz mwngine akimsifia binti anavoyajua Mambo na jinsi anavompa raha...

###Demu wako demu wetu

Nasema hivi huyo demu ni wangu
Eeeeh
Na hapo alipo tayari ana mimba yangu
Eeh
 
Nyie wanawake sijui mna shida gani kwenye ubongo. Yaani mtu unampenda ila unajifanya humpendi, akiondoka unaanza kuumia tena. Sasa sijui mnataka mwanaume aendelee kuteseka kukubembeleza tu wakati unamwonyesha humtaki?
Inatokea unampenda yy hakupendi .coz ukiendelea kumganda utaumia tu,na utakua unapoteza mda bora uondoke maumivu hayadum milele
 
Atiiii njiwa msumbufu..
Kweliii mamy...toto nalipenda afu yeye ndo kwanza hata HAELEWI......ila no way nikisema ni move on, nitajidanganya tu ....

BoRA NIWE SINA COUPLE tu, KULIKO kumkosa huyu NJIWA....

SO MUCH PAIN, SO SAD KUWEKEZA SHM AMBAYO HUELEWEKI

Nukuu: you know whom you love but you do no who loves you
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom