Tusimulie love story yako kwa kifupi tujifunze

Tulitimiza miaka minne kwenye mahusiano,lakini cha kuhuzunisha mm kila sku ndo nilkua naonekana mkosaji kila sku...akikosea yye mm nkakosea kimatamshi bsi linasahaulka la kwanza.Tumeend mwaka jana tukaachan baada ya kumwambia yy n muongo kutokana na tukio husika lililofanyika,akakasilika mm kumwambia hivo ,nikaona hasira zake ilikua kwa chati,nikamuomba msamha hakujbu meseji siku tatu namtafuta hajibu meseji wala kupokea simu.Kutokana na hilo nikaamua tu kukubali kwamba mimi ndo nimeyavunja mahisiano hayu in fact s kweli,miezi miwili mbele akanitafuta na kuniomba msamha na kudai ameahindwa bila mimi na yeye ndo alikua mkosaji na amenikosea sana hivo anaomba nafasi ya kuja kurekebisha makosa yake.Nikamkubalia but mambo yalikua yale yale na mpka sasa tumebrekup na amedai hatuendani kitabia .nimeumia sana koz kaniacha kwenye vipindi viwil tofauti na hali ikawa ngum sana kwangu ila nimeamua kutulia and let her goo.infact alikua mtu wa kwanza kuanza kuyaua mahusiano yetu nilikua nakuja kuonekana mbaya baada ya mimi kuongea kama sehemu ya kunkanya ili tuwe imara kila sku lakin alikua anasubiria neno gan nimeteleza tu ,inakua shida na kuambiwa tuachane tuachane but siku zote nilikua najishusha na kuomba msamha bila kujal nani alkua wa kwanza kukosea .
Pole jembe...infact tafuta mwanamke atakae tambua wewe ni mwanaume...na uache unyonge utanyanyasika.. Nilishawahi kula dem wa mtu kwenye scenario kama yako dem wa dogo mmoja wa chuo alikua exactly kama wako afu jamaa anajishusha sana. Siku nipo geto (tulikua tunakaa same house wapangaji kama watano) naona namba ngeni imenitext..kumbe ni huyo dem alichukuaga namba kwa jamaa yake (wote madent wa chuo). Baada ya kujitambulisha jina nikawa sijamfaham bado maana kiukweli dem nilikuaga simjui jina ila jamaa yake jina nalijua. Ndo akanambia ni mimi housemate ninaekaa na xxxxx. Nikashangaa sana nikajua ni mtego nikawa simpi ushirikiano akaniuliza kama nipo alone nikamwambia ndio (maana nilikuaga naleta madem tofauti sababu nilikuaga nimebreak up na dem nilodhanigi ntamuoa),basi akaomba aje anashida nimsaidie..nikamuuliza kwani jamaa yuko wapi dem akasema hata sijui tulizinguana toka jana akazila hakuniaga.. hapo ndo nikaamini labda si mtego nikamkaribisha akasema usifunge mlango nakuja saa tano hivi (muda huo tunachat ni around saa tatu). Dem kweli kaja na night dress eti alikua anajiandaa kulala so hakai sana,tukaishia kugongana hadi alfajiri akarudi kwake...usiku kwenye story dem ananambia eti nilivyomalaya ananionaga ninavyoletaga madem (dirisha lao lipo kwa uwani sehemu ambayo nilikua napark gari kumbe kila naporudigi dem ananichora).
Jioni jamaa yake akarudi wakaendelea na maisha na dem tukapigiana mute mazima once and for all. Hii story niliwahi ileta jf kitambo kwenye jukwaa la wakubwa so nimejaribu ku-summarize. Ila kiufupi jamaa alikua hanaga sauti kwa dem kutokana tu na lifestyle lao jamaa mara kibao anafanya kazi za kupika na kufua na wote wametoka familia bora
 
Tulitimiza miaka minne kwenye mahusiano,lakini cha kuhuzunisha mm kila sku ndo nilkua naonekana mkosaji kila sku...akikosea yye mm nkakosea kimatamshi bsi linasahaulka la kwanza.Tumeend mwaka jana tukaachan baada ya kumwambia yy n muongo kutokana na tukio husika lililofanyika,akakasilika mm kumwambia hivo ,nikaona hasira zake ilikua kwa chati,nikamuomba msamha hakujbu meseji siku tatu namtafuta hajibu meseji wala kupokea simu.Kutokana na hilo nikaamua tu kukubali kwamba mimi ndo nimeyavunja mahisiano hayu in fact s kweli,miezi miwili mbele akanitafuta na kuniomba msamha na kudai ameahindwa bila mimi na yeye ndo alikua mkosaji na amenikosea sana hivo anaomba nafasi ya kuja kurekebisha makosa yake.Nikamkubalia but mambo yalikua yale yale na mpka sasa tumebrekup na amedai hatuendani kitabia .nimeumia sana koz kaniacha kwenye vipindi viwil tofauti na hali ikawa ngum sana kwangu ila nimeamua kutulia and let her goo.infact alikua mtu wa kwanza kuanza kuyaua mahusiano yetu nilikua nakuja kuonekana mbaya baada ya mimi kuongea kama sehemu ya kunkanya ili tuwe imara kila sku lakin alikua anasubiria neno gan nimeteleza tu ,inakua shida na kuambiwa tuachane tuachane but siku zote nilikua najishusha na kuomba msamha bila kujal nani alkua wa kwanza kukosea .
Alikuona mnyonge Toka mwanzo hukuwa na sauti kama mwanaume. Ukiingia kwenye mahusiano mapya urekebishe hicho kipengele Cha kumnyenyekea mwanamke had unapoteza uanaume wako.
 
Nampenda ila hanikubali kivile
But nitaendelea kumpenda hivyohivyo till end of time..../

Daily mimi ndiyo wa kwanza kumtxt,
Daily mimi ndiyo wa kwanza kumcall,
Daily mimi ndiyo wa kwanza to apologize to her
But I still love her...../

Sometimes anakuwa kama vile ananielewa,
Ila sometimes kama vile kalogwa ama kavurugwa....
Sometimes analeta longolongo kuhusu familia Yao na life la kwao kiujumla and a lot of stories about herself....
But I still love her...../

Namwomba game anarefuse ,
Namwomba meeting at park anakataa,
Namwomba nimtumie hata hela ya soda or water anakataa,
But Bado naendelea kumpenda tu..../

Mapenzi mapenzi mapenzi kwann unanifanyia hivi .....
Napendwa na wadada wacute yaani wakali kinoma ila Kwa bahati mbaya sikuwahi Wala sijawahi kuwa na hisia nao...../

.ILA HUYU NJIWA MSUMBUFU AMBAYE HATAKI KUTUA KIOTANI MWANGU NDIYO AMBAYE ANAUSUMBUA MOYO NA AKILI YANGU...../

daaaaaaaah....mommy njoo bc .....

Au nikufanyie nini , mbona nikikutumia hela unakataa, vizawadi ndiyo usiseme kbs....vipi mamaa!!!

Anyway SIKOMI , SIKOMI NITAENDELEA KUKUPENDA HADI SIKU AMBAYO UPENDO WANGU KWAKO UTAISHA NA KUHAMIA KWA BINTI MWINGINE....../

Broh kama unahitaji mbinu za kikatili za kumteka huyo binti sema usaidiwe
 
Siku za nyuma, kuna Binti pale mtaani kwetu alisifika sana kwa kukataa wanaume. Basi nilivyoambiwa tu nikapata shauku ya kumfuatilia. Niligundua anaimba kwaya Kanisani pia ameokoka. Basi na mimi nikaanza kuwa mtu wa Church. Kila jumapili alikuwa ananiona Church, nikawa nimezoeana nae mwisho wa siku nikaomba mzigo. Alikataa na akasema yeye hapendi hayo mambo pia ni yeye bado Bikra.

Baada ya kunijuza kuwa yeye bado Bikra nikaongeza sana juhudi za kumsumbua, kuna siku alielewa somo akaniambia atakuja Gheto mchana. Nilimsubiri hadi saa Kumi ndio akaja. Sasa sikuile aliyokuja ilikuwa ni Jumamosi na kulikuwa na Mechi ya ligi na mimi nilikuwa mchezaji tegemezi kwenye timu ya pale mtaani. Muda ambao Dem amekuja ndio muda huohuo kuna kiongozi wa Timu akanipitia ili tuwahi mechi. Ikabidi nimuache Dem ili niende Mpirani. Dem alionyesha kuchukizwa yani kumbe mimi napenda sana mpira kuliko yeye.

Siku iliyofuata nilienda Church kwa lengo nionane nae ili nije nimuombe samahani. ili mchakato uendelee. Sasa kule Kanisani sikuile muda wa Maombezi yule Binti si alidondoka akaanza kupandisha mashetani!. Niliona yale mapepo yanasema hatutoki, tupo saba kuanzia Kichwani, Tumboni hadi sehemu za siri, mkitutoa hapa tutamsubiri nje. Aliombewa saa nzima yakawa yametoka.

Aisee!, Hamu ya kula papuchi ikaniishia. Ila baada kama ya wiki mbili hivi Binti alikuja Gheto kunisalimia, japo najua alishanipenda. Nikajikuta napata shauku ya kujaribu kubanjua Bikra maana alikuwa kwenye 18 zangu. Nilianza kumuandaa huku nanamvua nguo taratibu, sasa alivyokolea utamu tu nikashangaa kumuona amezimia. Niliogopa ikabidi nifungue mlango wa gheto ili likitokea lolote iwe rahisi mimi kukimbia. Ila nashukuru Mungu baada ya dakika 5 Binti akazinduka.

Nikaanza zoezi la kumuandaa upya huku nikiwa tayari nimeshamvua nguo zote, Ikawa kila akinogewa tu anazimia hajitambui. Nikataka nibanjue tu Bikra kisha niachane nae, weeeee! ile kugusa tu papuchi, Binti alizinduka akanisukuma nikadondoka, akaanza kupandisha mapepo, nikatoka nduki nje. Kuna jirani yangu pale nje nae alikuwa mlokole nilimwambia akaja kufanya maombi hadi yule binti akatulia.

We mzee utakuja kufariki dunia ujue
 
Kweliii mamy...toto nalipenda afu yeye ndo kwanza hata HAELEWI......ila no way nikisema ni move on, nitajidanganya tu ....

BoRA NIWE SINA COUPLE tu, KULIKO kumkosa huyu NJIWA....

SO MUCH PAIN, SO SAD KUWEKEZA SHM AMBAYO HUELEWEKI

Nukuu: you know whom you love but you do no who loves you

Wa kunifanya niwe baraka ka michelle,tabasamu kama wafungua milango wa five stars hotel
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom