Tusimulie love story yako kwa kifupi tujifunze

Love story yangu ilianzia bafuni miaka ya 1990's wakati naoga ile kujisafisha sehemu za siri nikasikia utaaam flani hv,
basi nikagusa mara imooooooooo
siku inayofuata hata sikuwa na mambo mengi nikaanza kupiga punyeto rasmi na mpaka sasa nina furaha tele kuishi na punyeto wangu mana hajawahi kuni-let me down
 
Rule
Hatukutafutana, kila mtu kivyake hakuna kujuana.

Japo kupitia whatsap niliziona status, mara nyingine anipige vijembe mpaka basi.

Kuna siku moja alipost nikaona dalili, kuwa tayari kashapata bwana wapili.

Sikutaka kuumiza kichwa, kwani kila siku alikuwa akipost picha.

Status ziliwekwa maneno ya nyodo, eti chini ya mnazi kaokota dodo.

Sikuwa na wivu nilimuacha atambe, alisema ana date na wasomi sio waliokimbia umande.

Mwanzo alianza kumuita class mate, na kuwa wamefaulu na kupata the same grade.

Hajui mi kwake nishafunga gate, hata anitambie vipi haniumizi head.

Akapost eti walokole wakidate, hawapaswi kuitana baby.

Akamtag na jamaa kimafumbo, akampa sifa za mambo lundo.

Siku zikapita, upepo ukabadilika.

Status sa huzuni zikaongezeka, kuonesha kwenye hilo penzi anateseka.

Zile status za kejeli zilikoma, kuonesha hata yeye namba anaisoma.
Yangu always no. Moja nikiachana na mtu Huwa sibakiz chochote futa kila kitu number, pic za pamoja na kadhalika inaanza upya.
Wengine hupost pic na caption tam tam ambazo hukujua Kama anaweza andika lengo Ni uumie na ujute kumpoteze
Mkaachana futa everything for your safe mental health
 
Love story yangu ilianzia bafuni miaka ya 1990's wakati naoga ile kujisafisha sehemu za siri nikasikia utaaam flani hv,
basi nikagusa mara imooooooooo
siku inayofuata hata sikuwa na mambo mengi nikaanza kupiga punyeto rasmi na mpaka sasa nina furaha tele kuishi na punyeto wangu mana hajawahi kuni-let me down
 
Love story yangu ilianzia bafuni miaka ya 1990's wakati naoga ile kujisafisha sehemu za siri nikasikia utaaam flani hv,
basi nikagusa mara imooooooooo
siku inayofuata hata sikuwa na mambo mengi nikaanza kupiga punyeto rasmi na mpaka sasa nina furaha tele kuishi na punyeto wangu mana hajawahi kuni-let me down
hatari Sana
 
Nilimwona nikadhani malaika wazam Yuko duniani
Nikamtamani kwa uzuri uliopitiliza
Nikatongoza - ikagoma
Nikatongoza - nikapewa shit
Nikatongoza - nikapewa namba
Uhusiano - miez 1 na nusu
Omba mzigo - kachomoa
Omba mzigo - ntakuja kukutembelea.
Nikateleza
Akakagua simu - akapata presha
Nikaomba gemu - mizungusho mingi.
Nikazuga naumwa - akaja nikasuuza mjegeje
Nikakuta sms kwenye simu yake katumiwa "yako tamu "
Nikamind nikapiga chini.
Nasaka mwingine now
Short and clear
 
Hatukutafutana, kila mtu kivyake hakuna kujuana.

Japo kupitia whatsap niliziona status, mara nyingine anipige vijembe mpaka basi.

Kuna siku moja alipost nikaona dalili, kuwa tayari kashapata bwana wapili.

Sikutaka kuumiza kichwa, kwani kila siku alikuwa akipost picha.

Status ziliwekwa maneno ya nyodo, eti chini ya mnazi kaokota dodo.

Sikuwa na wivu nilimuacha atambe, alisema ana date na wasomi sio waliokimbia umande.

Mwanzo alianza kumuita class mate, na kuwa wamefaulu na kupata the same grade.

Hajui mi kwake nishafunga gate, hata anitambie vipi haniumizi head.

Akapost eti walokole wakidate, hawapaswi kuitana baby.

Akamtag na jamaa kimafumbo, akampa sifa za mambo lundo.

Siku zikapita, upepo ukabadilika.

Status sa huzuni zikaongezeka, kuonesha kwenye hilo penzi anateseka.

Zile status za kejeli zilikoma, kuonesha hata yeye namba anaisoma.
Mkuu ww ni mshairi?? Maana sio kwa vina hvyo
 
Bando ni lako?
Haijalishi kama ni la kwako au umeazimwa.Ni pale tu uingiapo JF ni vema ukajiweka kifikra changamfu.Siyo unasoma hoja halafu unatoa komenti kama hauna kichwa unafikiria kwa kutumia mabega.Ingawa,hiyo ni hiyari yako.Najaribu kukubadilisha usiwe mtu wa komenti za kucheka tu.Jenga hoja ukue kiakili.Siyo amri lakini.
 
Afisa kipenyo??
 
Hatukutafutana, kila mtu kivyake hakuna kujuana.

Japo kupitia whatsap niliziona status, mara nyingine anipige vijembe mpaka basi.

Kuna siku moja alipost nikaona dalili, kuwa tayari kashapata bwana wapili.

Sikutaka kuumiza kichwa, kwani kila siku alikuwa akipost picha.

Status ziliwekwa maneno ya nyodo, eti chini ya mnazi kaokota dodo.

Sikuwa na wivu nilimuacha atambe, alisema ana date na wasomi sio waliokimbia umande.

Mwanzo alianza kumuita class mate, na kuwa wamefaulu na kupata the same grade.

Hajui mi kwake nishafunga gate, hata anitambie vipi haniumizi head.

Akapost eti walokole wakidate, hawapaswi kuitana baby.

Akamtag na jamaa kimafumbo, akampa sifa za mambo lundo.

Siku zikapita, upepo ukabadilika.

Status sa huzuni zikaongezeka, kuonesha kwenye hilo penzi anateseka.

Zile status za kejeli zilikoma, kuonesha hata yeye namba anaisoma.
Muosha name huoshwa
 
Kuna mrembo nilimtokea nilitaka weka kambi mazima akakubali ila mbeleni akaleta ile kujitoa nikaona hapa sina changu. Nikayapokea matokeo maisha yakaendelea akawa ana post status kibao za furaha na mtu mwingine. Kila siku mafuraha yake kwa status mpaka nikaona hii anataka kunivuruga. Naona sahivi ana post status za masononeko yaani zile za Mungu ni simamie kwa magumu haya, mara majuto mara nini hahh mm nasoma tu then napita huyoo hata simjulii hali anashindwa hata kuficha anayopitia

Leo kapost hii 👇🏻👇🏻

20220416_074103.jpg
 
M
Ni mbaya sana sijui tunakoelekea. Halafu unakuta yuko chuo. Ukimsahihisha anakuambia mimi sio mwalimu. Kwenye mitandao hii ya kijamii kuna 70%
Tuandalieni thread ya miandiko itasaidia.
 
Kuna mrembo nilimtokea nilitaka weka kambi mazima akakubali ila mbeleni akaleta ile kujitoa nikaona hapa sina changu. Nikayapokea matokeo maisha yakaendelea akawa ana post status kibao za furaha na mtu mwingine. Kila siku mafuraha yake kwa status mpaka nikaona hii anataka kunivuruga. Naona sahivi ana post status za masononeko yaani zile za Mungu ni simamie kwa magumu haya, mara majuto mara nini hahh mm nasoma tu then napita huyoo hata simjulii hali anashindwa hata kuficha anayopitia

Leo kapost hii 👇🏻👇🏻

View attachment 2189130
Dawa imeanza kutembea kwenye mishipa yake ya damu kwa usahihi.Usimtingishe utaangushiwa lawama.😂😂😂😂
 
Mimi kimya sema status zimefutika muda umeisha ningeuona uzi mapema ningezi screenshot mapema na kuzi attached hapo km hiyo. Noma mm wala simtafuti nasoma tu status zake. Atajijua mwenyewe. Maisha yaendeleee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom