Tusimulie love story yako kwa kifupi tujifunze

Mia saba

JF-Expert Member
Mar 4, 2022
255
389
Nilimwona nikadhani malaika wazam Yuko duniani
Nikamtamani kwa uzuri uliopitiliza
Nikatongoza - ikagoma
Nikatongoza - nikapewa shit
Nikatongoza - nikapewa namba
Uhusiano - miez 1 na nusu
Omba mzigo - kachomoa
Omba mzigo - ntakuja kukutembelea.
Nikateleza😋
Akakagua simu - akapata presha
Nikaomba gemu - mizungusho mingi.
Nikazuga naumwa - akaja nikasuuza mjegeje😋
Nikakuta sms kwenye simu yake katumiwa "yako tamu "
Nikamind nikapiga chini.
Nasaka mwingine now
 
Kipindi Nipo National Service (2016 Dodoma) , Nikakutana Na Demu (Pisi Kali ) Kwenye Restaurant (Mess) Ya Jeshi , Mhuni Nikachukua Namba Ndani Ya Week Tuka Make Bond.

Demu Alikujaa Dom Kutembea After 1 Week Akarud Zake Dar ..Kumbe Dar Alichatolewa Mahali Na Ana Jamaa Yake Ambaye Ukoo Mzima Wanamjua Halafu Pisi Kali Imenielewa Kamchana Hadi Jamaa Yake Kuwa Ana Wake Dom , Jamaa Ndo Akanipigia Simu Angalia Na Kunibembeleza Niachane Na Mtu Wake Coz Anataka Kumuoa , Mhuni Nikaona Isiwe Nikamwaga
 
Alikuwa ni mtu wa church, hapo ndio nikajua kumpata itakuwa kazi

Nilikuwa tayari kwa lolote nimpate, miondoko yake na upole vilinifanya nidate.

Siku moja alikuwa anakatiza sokoni, nikamfata kumueleza namna alivyonikaa moyoni.

Akashangaa akauliza kwani kulikoni, unanipenda mimi kwani wengine huwaoni?

Nikamwambia mama usiwe na hofu, nakupenda wewe wengine siwaoni nimekuwa mpofu.

Basi nikamjaza maneno kumpa hope, maana nishachoka daily kutumia soap.

Akanipa namba tukaaza kuchart, kesho kutwa nikamualika club ku party.

Akasema hiyo ni dhambi mi nimeokoka, lakini dingi pia ni mkali nikisepa atafoka.

Nikamuambia we ni nguzo ukiacha nita dondoka, sitaki uwende mbali maisha ya upweke nimechoka.

Lakini haikusaidia maana aliniaga kuwa anaondoka, anaenda mkoa wa mbali kusoma.

Akaniahidi kunipa ushirikiano every day, lakini alivyosepa simu zangu akawa hapokei.

Sometimes akipokea ananikalipia, kuwa nimekuwa kero ameshindwa kunivumilia.

Nimpe muda nipunguze simu kumpigia, atanitafuta kwa muda wake yeye akijisikia.

Aliambia mengi ya kuudhi, aliniambia nitafute demu mwingine sinabudi.

Masta nikasema huo ni ushenzi, vipo vya kuhangaikia ila sio mapenzi.

Nikaacha kutuma meseji, hata nikituma nikawa simuiti baby.

Kuviziana ndio ikawa mbinu, kila mmoja anamsikilizia mwenzake apige simu.

Sio siri ilikuwa ni zaidi ya mafarakano, ilipita miezi sita bila mawasiliano.
 
Nimpe muda nipunguze simu kumpigia, atanitafuta kwa muda wake yeye akisikia.

Pole man
tumeumbwa kuteseka
 
Duh! Pole sana.
 
Alikua side chick tu na hamna hata mshkaji nilokua nimemtambulisha...tukapotezana mazima baada ya kuhamishwa afu na namba yake sikuwaga nayo tena...dem nilojua ntaoa sikuoa nikajikuta nimekuja kumuoa yeye. Sijuitii ni miaka 13 sasa tangu tuonane first time na tuna 3 kids sasa. Namshukuru Mungu daily, What a right choice amenifanyia
 
Hongereni sana.
 
Alikuwa ni mtu wa church, hapo ndio nikajua kumpata itakuwa kazi

Nilikuwa tayari kwa lolote nimpate, miondoko yake na upole vilinifanya nidate.

Siku moja alikuwa anakatiza sokoni, nikamfata kumueleza namna alivyonikaa moyoni.

Akashangaa akauliza kwani kulikoni, unanipenda mimi kwani wengine huwaoni?

Nikamwambia mama usiwe na hofu, nakupenda wewe wengine siwaoni nimekuwa mpofu.

Basi nikamjaza maneno kumpa hope, maana nishachoka daily kutumia soap.

Akanipa namba tukaaza kuchart, kesho kutwa nikamualika club ku party.

Akasema hiyo ni dhambi mi nimeokoka, lakini dingi pia ni mkali nikisepa atafoka.

Nikamuambia we ni nguzo ukiacha nita dondoka, sitaki uwende mbali maisha ya upweke nimechoka.

Lakini haikusaidia maana aliniaga kuwa anaondoka, anaenda mkoa wa mbali kusoma.

Akaniahidi kunipa ushirikiano every day, lakini alivyosepa simu zangu akawa hapokei.

Sometimes akipokea ananikalipia, kuwa nimekuwa kero ameshindwa kunivumilia.

Nimpe muda nipunguze simu kumpigia, atanitafuta kwa muda wake yeye akisikia.

Aliambia mengi ya kuudhi, aliniambia nitafute demu mwingine sinabudi.

Masta nikasema huo ni ushenzi, vipo vya kuhangaikia ila sio mapenzi.

Nikaacha kutuma meseji, hata nikituma nikawa simuiti baby.

Kuviziana ndio ikawa mbinu, kila mmoja anamsikilizia mwenzake apige simu.

Sio siri ilikuwa ni zaidi ya mafarakano, ilipita miezi sita bila mawasiliano.
baada ya hiyo miezi sita mlitafutana ?
 
Nimeojuana nae leo....
Nimeswim nae leo...
Na sasa niko nae getto anapumzika.

Kitakachoendelea ntawapa updates
 
baada ya hiyo miezi sita mlitafutana ?
Hatukutafutana, kila mtu kivyake hakuna kujuana.

Japo kupitia whatsap niliziona status, mara nyingine anipige vijembe mpaka basi.

Kuna siku moja alipost nikaona dalili, kuwa tayari kashapata bwana wapili.

Sikutaka kuumiza kichwa, kwani kila siku alikuwa akipost picha.

Status ziliwekwa maneno ya nyodo, eti chini ya mnazi kaokota dodo.

Sikuwa na wivu nilimuacha atambe, alisema ana date na wasomi sio waliokimbia umande.

Mwanzo alianza kumuita class mate, na kuwa wamefaulu na kupata the same grade.

Hajui mi kwake nishafunga gate, hata anitambie vipi haniumizi head.

Akapost eti walokole wakidate, hawapaswi kuitana baby.

Akamtag na jamaa kimafumbo, akampa sifa za mambo lundo.

Siku zikapita, upepo ukabadilika.

Status sa huzuni zikaongezeka, kuonesha kwenye hilo penzi anateseka.

Zile status za kejeli zilikoma, kuonesha hata yeye namba anaisoma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom