Lakasa chika7
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 454
- 1,264
Kuna wanamuhishisha makandokando ya dogo wa Dar es salaam na mkuu wa Nchi. Tunakosea sana. Huyu dogo binafsi yake anakiburi na anasumbuliwa na inferioty and in complex mind ambayo inamfanya anataka Ku over size power. Wengi wanasema Rais anamtuma...hapana. Huyu anajituma. Rais hawezi kumtuma mtu akatangaze watuhumiwa hadharani bila ya kuwa na ushaidi. Ingekuwa Rais kamtuma hayo basis wazir mkuu asingepiga piga maarufuku watu kutangazwa hadharani.
Mheshimiwa Rais huyu kijana ana Mali nying za gafla ambazo watu wana mashaka nazo...!! Hana moral authority tena( haaminiki).
Pia ili usionekane unaingilia muhimili wa bunge mwache akasulubiwe bungeni. Hata mwanasheria mkuu asingilie kesi zake zinazomkabili kwa wale aliowataja hadharani. Huyu kijana kavimba kichwa. Kwa afya ya Tanzania wanasiasa wachwala km hawa ni vyema tueliminate them mapema.
Dogo hatumwi..anajituma.
Dogo umedharau wito wa bunge..
Pambana na basi na hili la vyeti.
Bashite tunataka vyeti vyako...km umefoji toka ofisini hiyo ni ofisi ya umma.
Nenda kajiajiri km siye.