Ndugu, watanzania wenzangu mie nadhani si busara tena kuliongelea swala hili la Al shabab. Nasema hivyo maana tazari sasa kila kitu kinahusishwa na hawa jamaa. Mfano ni maandamano na mechi ya yanga na simba. Angalizo langu ni kuwa,nionavyo mimi kwa kuhusisha kundi hili na mambo yeti ya kitaifa ni hatari kwa usalama wa nchi yetu. Hii ni kwakua maadui zetu na hata ataifa makubwa yanaweza tumia mwanya huu kuleta wavamizi na kisingizio kuwa na hawa jamaa, ambao hata sie tumeshaanza kukaribisha hoja hiyo.
Note:al qaida ilianza vivyo hivyo sahivi ndio kimekua chanzo cha kuvuruga amani nchi nyingi hasa za africa.
ni mawazo tu be careful
Note:al qaida ilianza vivyo hivyo sahivi ndio kimekua chanzo cha kuvuruga amani nchi nyingi hasa za africa.
ni mawazo tu be careful