Tusilale na watoto

Tusilale na watoto

Mitatu kwote huko?? Unamuandalia mazingira ya kuvutia kulala nyumba nzima akishaanza kutembea na kuongea, utajikuta anahama kwako mapema coz atakuwa anamove na hamu ya leo analala wapi kwa dada kwa kaka au kwa baba na mama! Akianza hivyo tu tayari huyo amehama maana mtoto wa miaka mitatu ni mkubwa sana na anweza hata kutoa story nzima ya alichokiona usiku, tena afadhali aongee tu maana hawakawii kuanza kujaribu kabisa.
Tuwahamishe lakini follow up ni muhimu!
Mtoe kwako umfunze kulala chumbani kwake,ikibidi alale na mtu kuwa makini kufatilia pia sio unajitanua tu kufurahia uhuru huku nako mtoto anaharibiwa.
Watoto wengi wameharibiwa na wajomba,Baba wadogo na wasichana wa kazi.
 
umenikumbusha mhubiri mmoja akihubiri semina ya ndoa kuhusu madhara ya kulala na watoto pamoja. mtoto mdogo kiasi alikuwa analala na wazazi mwingine analala chini. Basi wazazi katika kufanya mapenzi kwa bahati mbaya yule wa kitandani akaanguka chini ikabidi wambebeleze, huku aliyelala chini anasikilizia movie yote. Basi wakambembeleza akalala wakaanza tena. Basi yule wa chini akakurupuka akasema, sasa anamwambia mdogo wake Michael jishikilie wameanza tena!!
Ila mkuu usisahau changamoto za kupanga chumba kimoja. mambo haya yatawezekana kama utajenga.
 
Kwa wale wenye chumba kimoja unawashauri nini halafu kuna zile nyumba zetu za uswazi zenye vyumba 6 halafu juu hamna slng bd mtu akilianzisha chumba cha kwanza mpaka cha tatu wanaisoma move we tembea uswazi uone mambo na kuna nyumba nyingine madirisha ya nyumba kwa nyumba yamebanana sasa ndo ukute watoto ndio wamelala chumba kinachoshabihiana na jirani shababi kuna watoto kweli ndio maana hapana chezea watoto wa uswazi ni noma teambea uone.

Du we sikuwezi teh.. Try....
 
Tuwahamishe lakini follow up ni muhimu!
Mtoe kwako umfunze kulala chumbani kwake,ikibidi alale na mtu kuwa makini kufatilia pia sio unajitanua tu kufurahia uhuru huku nako mtoto anaharibiwa.
Watoto wengi wameharibiwa na wajomba,Baba wadogo na wasichana wa kazi.

ni kweli kabisa Ennie kuwa makini watoto wako wanalala na nani. eti mtoto wa kiume analala sijui na mjomba wake, mtoto wa baba mkubwa aisee watamfanyia kitu mbaya. hakikisha chumba au vyumba vya watoto halali mgeni. mkague mtoto wako wa kike(akina mama) kama umemwamini hg wako alale naye, maana ni janga above all ombea sana watoto wako.
 
Tuwahamishe lakini follow up ni muhimu!
Mtoe kwako umfunze kulala chumbani kwake,ikibidi alale na mtu kuwa makini kufatilia pia sio unajitanua tu kufurahia uhuru huku nako mtoto anaharibiwa.
Watoto wengi wameharibiwa na wajomba,Baba wadogo na wasichana wa kazi.

You are more than right.
 
Maisha yamebadilika wakati ule mtoto anafikisha miaka kumi na zaidi lakini mambo ya ngono hayajui kabisa, lakini siku hizi siyo, mtoto wa miaka 5 tayari anajua mpaka kondom kama mzazi mtoto akifikisha miaka kuanzia mitatu ni vema akaanza kulala chumba tofauti na chenu, kwakuwa mtakayoyafanya yote usiku mkidhani hawaoni na wamelala, mnajiongopea, hawalali hao wanasubiri tu muanze wapate sinema ya bure

Miaka 3??? Kote huko
 
Back
Top Bottom