Tusikaze mioyo yetu. Kuna "jambo letu" tunafundishwa kupitia Tundu Lissu

Joined nov 2008. Bila shaka una uzoeu mkubwa sana kwenye siasa.

Lakini mkuu wewe si juzi juzi tu ulikuwa Praise team ya JPM? Nini imebadilika?
Mkuu Pythagoras kama Jamaa kajitumbua peke yake bila shuruti basi tumkaribishe Kundini.
Nimefurahishwa sana na tabia yako ya kumchambua mtu/member kabla ya kuchangia hoja yake. Hongera sana Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom