ikisimama panda
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 2,727
- 2,418
Tatizo viongozi wake wanadhani kupasuka ni kuhama kwa viongozi wake mashuhuri.
Kukatwa kwa lowassa kunaonesha jinsi watu wametengeza chuki baina ya makundi.
CCM wategemee adhabu ya kura za hasira.
Kwani hamtaki ipasuke??MWENDO NI CHADEMA mbele kwa mbele
msunami we ni ---- kwa Akili Yangu na dhimila Yangu niliyo nayo kwa lowasa hakusitahili kuwepo hapa duniani ---- ule alitakiwa auwawe hadharani kwa ufirauni aliotufanyia mmasai yule halafu wewe unamtetea kabisa laaaa watanzania hatuna Akili kabisa laaaaaaaaaa

Ni dhahiri sasa kuwa kitendo cha madiwani wote wa Lowassa kuhamia chadema ina maana kuwa moshi mweupe wa ukombozi sasa umehamia chadema rasmi na kuondoka mikononi mwa 'KITENGO' ambacho hakimtaki rais kutoka kaskazini!
Hivyo, tunawasihi popote pale mlipo wafuasi wa Edward Lowassa tuungane wote kwa pamoja tukaimbe wimbo wa ukombozi ndani ya Chadema!
Mfuasi yeyote wa Lowassa atakayebaki katika chama cha kitengo sio mwenzetu, wote tumehamia rasmi chadema!
Karibuni sana tuimbe nyimbo za ukombozi, tuwaache ccm waimbe nyimbo za 'kitengo'!
Viva UKawa, viva Chadema!
From TEAM lowasa hio nimekopi na kupesti
Chadema ndo Habari ya Mjini
C H A D E M A Oyeeeeeeeee
Na hapa kauli ya Mwana wa Mflme ndio inazidi kutia chumvi kwenye kidonda, rais hatoki kaskazini na aliyofanyiwa Lowasa ni wazi mambo yalipangwa tangu kitambo........CCM imejitafutia matatizo kwa kuingiza mambo ya familia kwenye taasisi, ninaamini hata Pinda, Wassira, Sitta na jaji ni watu wanaougulia maumivu ndani ya mioyo yao ni vile hawana la kufanya, kitendo cha kumpitisha Makamba, Migiro na Amina ni dharau kubwa sana kwao, mtu kama Makamba hata uwaziri kamili hajawahi kuushika leo anatinga tano bora na Pinda Waziri Mkuu wa Nchi anaishia kwenye kamati ya maadili,nini tufikirie......kwamba hana maadili mazuri,yeye na hao niliowataja?
Sikatai kusikia CCM inapasuka.........
Mambo bado kabisa! Sielewi maridhiano na Lowasa jinsi yanavyotakiwa yawe! Ameonewa na kudhulumia kwa makusudi kabisa! Wala sidhani kama atakubali ingawa najua binafsi hatahama CCM lakini hatawaunga mkono!
Ndo inaenda kupasukia CDM ikawazibe macho, endeleeni kukaribisha mizigo.
Endeleeni kuwapokea maana nadhani hamjui nini kinaendelea mmekubali kuchanganya nuru na giza sasa cha moto mtakiona!
Endeleeni kuwapokea maana nadhani hamjui nini kinaendelea mmekubali kuchanganya nuru na giza sasa cha moto mtakiona!
Unafanya kazi ya hasara kweli..ZZK mwenyewe kaangukiwa na bahati mbaya sana kazaliwa mtoto mwingine ...maridhiano yapi tena.CCM haiwezi mto magufuli na lowasa hayupo tayari tena kuchukua cheo kingine zaidi ya kugombea urais.Yote ni impossible....CDM sasa hivi wanatoa dose kwa masaa ccm itakuwa busy to death.Kwa hali jinsi inavyoendelea ni dhahiri kabisa ccm inakwenda kupasuka ata kama sio yote lakini asilimia fulani itaathirika.Nayakumbuka maneno ya Mzee Kingunge juzi alipoongea kwamba ili CCM ishinde yanaitajika maridhiano pia kwa kiasi kikubwa inahitajika Lowasa ashirikishwe katika mchakato wa kampeni za Magufuli.Hakika nawaambia maneno yale ya Kingunge ni busara na ya muhimu sana japo wako watu wanayakejeli.Na kwa tetesi zilizopo Ngorongoro,Singida,Kigoma na Tanga wako mbioni kufanya kama walivyofanya leo Monduli.Dhambi nyingine wanayoifanya CCM ni kutaka kuwakata watu wote wanaowania Ubunge na Udiwani ambao walimsapoti Lowasa.Hili nmelisikia mwenyewe kwa mtu mkubwa kabisa akiwaambia vijana mkakati huo uliopangwa.Kwa hakika CCM sasa iko vipande vipande tusifarijiane na kujipa moyo ukweli ndio huo.
Bado una hang over..NANI KAKUAMBIA KURA ZA MZIGO NI MZIGO?Ndio Jk kakufafanulia?Ndo inaenda kupasukia CDM ikawazibe macho, endeleeni kukaribisha mizigo.
Kweli CCM wapuuzi ...YAANI WAMELAZIMISHA HADI KWENDA WACHOKONOA WAMASAIA MACHONI KUWAKUMBUSHA KWAMBA KASKAZINI HAITAKIWI?Hata masaia wa msoga wanaipiga chini CCM.Na hapa kauli ya Mwana wa Mflme ndio inazidi kutia chumvi kwenye kidonda, rais hatoki kaskazini na aliyofanyiwa Lowasa ni wazi mambo yalipangwa tangu kitambo........CCM imejitafutia matatizo kwa kuingiza mambo ya familia kwenye taasisi, ninaamini hata Pinda, Wassira, Sitta na jaji ni watu wanaougulia maumivu ndani ya mioyo yao ni vile hawana la kufanya, kitendo cha kumpitisha Makamba, Migiro na Amina ni dharau kubwa sana kwao, mtu kama Makamba hata uwaziri kamili hajawahi kuushika leo anatinga tano bora na Pinda Waziri Mkuu wa Nchi anaishia kwenye kamati ya maadili,nini tufikirie......kwamba hana maadili mazuri,yeye na hao niliowataja?Sikatai kusikia CCM inapasuka.........