Ila pesa mashetani kwa kweli maana mie nikipata mbona yangu inaishia kwenye papuchi tuu....ebu nisaidie niiheshimu pesa



yeye kasema eti anaoa kisha muda mfupi mke anamcheat ila hasemi zile anazohonga michepukoAaaaaaah usitufokeeBado hujasema unao mke mnalala chini, ukipata pesa unatafuta mchepuko wa kula naye pesa , zikiisha ndiyo unarudisha gwala zako kwa mkeo kwanini usikae huko huko ulikopeleka pesa?
Bifu za darasani plz usizilete uku.Mtoa mada ndiyo mwenyewe ana mashetani
Ilimkuta jamaa angu mmoja Yuko dodoma, kakopa 30m aendeleze ofisi.Unakopa hela ukaolee ndio ushetani unaanzia hapo
Anadata na nini yeye alipe tu mkopo wa bank vizuri ili nawengine wapate pesa zakukopa, pole yake sana, watu tulikuwa tuna subilia wakutuoa tunaonekana washamba acha watumbuane hukoIlimkuta jamaa angu mmoja Yuko dodoma, kakopa 30m aendeleze ofisi.
Kakutana na shombe shombe wa kisukuma Anasoma chuo UDOM Akadata,
Kwenda usukumani,
Mahali zinahitajika ng'ombe 35, million 15 cash IKAMTOKA.
July mwaka Jana, HARUSI Ikafungwa ya million 10.
Mwez ulopita, siku 3 mkewe haonekani.
katoweka kusiko julikana.
Kaja kupatikana,
Baada ya kufumaniwa hotelini anabanjuka na Mweshmiwa MBUNGE.
Mpaka mda huu jamaa amedata.
Sio wote wanaohusishwa na ushetani, na wengi wanahisiwa tu wala hakuna cha ushetani, hizo ni Imani tu.Basi sawa, ila jiulize wangapi wanafanikiwa? Hafu inakuaje wakifanikiwa wanahusishwa na ushetani pia ?
Hahahaha....tafuta "punane" moja bas hudumia hiyo tu!Ila pesa mashetani kwa kweli maana mie nikipata mbona yangu inaishia kwenye papuchi tuu....ebu nisaidie niiheshimu pesa