Tusidanganyane Moyo haupendi

Tusidanganyane Moyo haupendi

Nadhani niliongea kwa kifupi sikueleweka.......Moyo kuuma au kudunda ukiachika inatokana na stress na hofu ambazo chazo chake ni fikra....so kwa wale mnahisi moyo kuuma ukiachika ni kuathirika kwa mfumo wa damu pale unapopata stress kwenye ubongo....ndio maana hata ukiachika mapigo ya moyo yanaendelea kama kawaida lakini huongezeka kasi na kurelax kutokana na kutokana na athari za kwenye akili......na hali hiyo ya moyo hutokea hata pale tunapopata misiba,tunapofukuzwa kazi n.k........mnaoupa moyo kazi ya kupenda ndo ambao mwisho wa siku mnaishia kujiua...!!!

Ni wazo tu...!!!
 
Mapenzi mwisho wake ni sex. Ili uweze kufanya sex ni lazima moyo usukume damu kwa wingi kwenda kwenye via vya uzazi hadi damu ijaye ndiyo mtu awe tayari kufanya mapenzi. Utatenganishaje moyo na mapenzi.
Winor_224

Ulikuwa unajaribu kujenga hoja nzuri lakini ikakushinda, hata hiyo kazi ya kupump damu sio ya moyo bali ni conscious mind moyo ni kipitio tu cha kukamilisha mchakato mwekundu ameongea kwa kifupi sana ametaja soul n mind hivi ndio vitu vinavyohusika na hisia zote za mwili ikiwemo mapenzi
 
Mapenzi mwisho wake ni sex. Ili uweze kufanya sex ni lazima moyo usukume damu kwa wingi kwenda kwenye via vya uzazi hadi damu ijaye ndiyo mtu awe tayari kufanya mapenzi. Utatenganishaje moyo na mapenzi.

Moyo hausukumi damu kwa wingi kwenye sex tu bali hata kwenye kazi yeyote ile inayohitaji nguvu zaidi kama vile kufanya mazoezi,kubeba vitu vizito n.k.
 
Aaaaaahh!!!! Yani asubui subui mnakuja na mada Kama hizii za mapenzii, So taifa litaendlea kwelii

wengine ni walinzi na wengine wana shift za usiku mkuu asubuh hii wao washatoka makazini, taifa litaenda tuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom